Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu Habari zenu?
Leo wametangaza nominees ya player of the year epl .mshindi atatangazwa April 28 2019.
List kama ifuatavyo hapo chini wanaogombania hiyo nafasi.
Nani anastahili kuwa mchezaji bora wa epl msimu wa 2018/2019.
Kwa upande wangu me naona VVD huyu beki wa Liverpool
Kwa sababu huyu beki ndio beki Bora kwa sasa duniani .hao wengine kwa nafasi zao msimu huu kwa viwango walivyoonesha hawajafikia level ya kuwa bora kidunia .huo ni mtazamo wangu weka na wakwako hapo chini .
kwa wale ambao awajaangalia mechi za Liverpool hakuna mchezaji aliyeweza kumpita huyu beki mpaka sasa na kwenda kufunga mpaka sasa yaani na maanisha hakuna mchezaji yoyote aliyempiga chenga akaenda kufunga.
Ameisaidia defense ya Liverpool mpaka sasa epl imefungwa goli moja tu la mpira wa kona,ilikuwa mechi na burnley tu. Amesaidia liverpool mpaka sasa imeruhusu goli 20 tu ndio timu iliyoruhusu goli chache epl mpaka sasa.
Mipira yote ya kona anaruka yeye tu.kingine anafunga na anatoa assist ya magoli.
Kwa upande wako mchezaji gani anastahili na kwanini?
Vizuri ukaweka na sababu ili kila mtu aelewa ubora wa mchezaji uliemtaja.
Ni hayo tu wakuu nawasilisha.
Pasaka njema wakuu