Master Arcade
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 404
- 658
Labda waneona kuingia kwa mashabiki wa yanga sana uwanjani hakutokani na hamasa za Nugaz Bali ni uzalendo wa wananchi wenyeweTff na bodi ya ligi wanajichanganya sana, haiwezekani timu inayosemekana ndio iliingiza washabiki wengi mhamasishajiwa wao akosekane kwenye 3 bora, inavyoonekana tuzo wameshapanga wampe nani tangu zamani.
Tff na bodi ni kichefu chefu kwakweli, wengi wao ni watu wa maslahi binafsi sana.
Sio kweli, Nugaz kafanya kazi kubwa sana kuhamasisha watu, amefungua matawi mengi nchi nzima, amezungu mikoani, wilayani, mpaka katani kuhamasisha na kufungua matawi.Labda waneona kuingia kwa mashabiki wa yanga sana uwanjani hakutokani na hamasa za Nugaz Bali ni uzalendo wa wananchi wenyewe
Je kabla ya Nugaz kufungua matawi hayo usemayo miaka minne iliyopita yanga walikuwa hawajazi viwanjani?Sio kweli, Nugaz kafanya kazi kubwa sana kuhamasisha watu, amefungua matawi mengi nchi nzima, amezungu mikoani, wilayani, mpaka katani kuhamasisha na kufungua matawi.
Antonio Nugaz alistahili kuwepo hapo wamemuibia..Ok hata kama nishabiki basi bado ajafikia sifa ya kuwekwa ktk top 3 na ukawaacha wakina nugaz na wengineo..
Mashabiki wa Yanga, hamasa ilishuka sana miaka ya katikati hapa, baada ya kuja GSM na Nugaz ndo hamasa ikaanza tena kurudi, kwa sapoti ya GSM ilimuwezesha Nugaz kuzunguka sehemu kubwa ya nchi kuhamasisha watuJe kabla ya Nugaz kufungua matawi hayo usemayo miaka minne iliyopita yanga walikuwa hawajazi viwanjani?
Mimi ni mshabiki na mwanachama wa simba ila jamaa Nugaz alipaswa kuwa kwenye hiyo orodha. Sioni mchango wa Zozo kwenye ligi yetuTFF wameandaa tuzo na ambao wanagombea tuzo ya mhamasishaji bora wapo watatu.
1. Masau Bwire
2 .Haji Manara
3. Bongozozo
Mnaona nani anastahili hapo?
Tuzo niza Tff sio Ligi kuu kama msimu uliopita ambapo voda ndo walikua wanazihostMimi ni mshabiki na mwanachama wa simba ila jamaa Nugaz alipaswa kuwa kwenye hiyo orodha. Sioni mchango wa Zozo kwenye ligi yetu
Bongo zozo kwenye timu ya taifa sawa ila kwenye ligi tunamuonea kwa kweli walau popat
Wachambuzi Uchwara wametoa taarifa ambazo SIO SAHIHI...Sasa bongo zozo na ligi yetu wapi na wapi.....
Na kauli yake Vimba mwananchi tembea kifua mbeleMashabiki wa Yanga, hamasa ilishuka sana miaka ya katikati hapa, baada ya kuja GSM na Nugaz ndo hamasa ikaanza tena kurudi, kwa sapoti ya GSM ilimuwezesha Nugaz kuzunguka sehemu kubwa ya nchi kuhamasisha watu
Wangeshindanishwa Manara ,nugaz na masau bwire kwenye hicho kipengele ,Ila bongo zozo kwa vile anahamasisha kwa upande wa taifa stars angepewa tu tuzo ya heshima siyo ya kushindania ,maana kwa hamasa ya taifa stars bongo zozo amehamasisha sana na kwenda kila nchi wanayoenda taifa stars kwa nauli yake mwenyewe huku ameshika bendera ,hao wengine wangepigiwa kura Ila bongo zozo apewe tuzo ya heshima kwa upande wa taifa starsMimi ni mshabiki na mwanachama wa simba ila jamaa Nugaz alipaswa kuwa kwenye hiyo orodha. Sioni mchango wa Zozo kwenye ligi yetu
Hawajamtendea haki nugaz kwa kutum nominated ila pamoja na yoote Mimi simba ila domo LA manara linastahili hio sifa.TFF wameandaa tuzo na ambao wanagombea tuzo ya mhamasishaji bora wapo watatu.
1. Masau Bwire
2 .Haji Manara
3. Bongozozo
Mnaona nani anastahili hapo?
Hakuna hapoTFF wameandaa tuzo na ambao wanagombea tuzo ya mhamasishaji bora wapo watatu.
1. Masau Bwire
2 .Haji Manara
3. Bongozozo
Mnaona nani anastahili hapo?