CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
simba ishatoka huko kwa kufungana midomo wala kutegemea midomoHawajamtendea haki nugaz kwa kutum nominated ila pamoja na yoote Mimi simba ila domo LA manara linastahili hio sifa.
Sema bwire anahitaji awepo simba amfunge bakuli manara
Mfano tuzo ya beki bora shabalala na kapombe wapo Sijui mwingine wa tatu na onyango hayupo kabisaTifua Tifua bhana full kichefu chefu sasa wanasema yanga uto Ndio waliingiza mashabik Weng tena kwa takwimu zao sasa kwa nn wasimpe nugaz ingawa siwapend uto ila nugaz alistahili Kama huyo hayupo wampe tu bongo zozo maana hapo wanataka wampe manara kijanja
Lakini mkuu Nugaz kuachwa Sijui wametumia kigezo , Mimi ni Simba Ila kwa ligi kuu kwenye uhamasishaji wanajulikana watu watatu tu bila uhasama Minara ,Nugaz na Masau bwire .Hawajamtendea haki nugaz kwa kutum nominated ila pamoja na yoote Mimi simba ila domo LA manara linastahili hio sifa.
Sema bwire anahitaji awepo simba amfunge bakuli manara
Yaan mpaka hapo wameshaishushia heshima hio Tuzo .Lakini mkuu Nugaz kuachwa Sijui wametumia kigezo , Mimi ni Simba Ila kwa ligi kuu kwenye uhamasishaji wanajulikana watu watatu tu bila uhasama Minara ,Nugaz na Masau bwire .
Kwanza kwa ligi kuu wamehamasisha karibia ligi kuu mechi zote ,Manara Simba amehasisha .
Kwenye hao watatu vigezo vitumike either watumie mashabiki kupiga kura au vingine ila waangalie vigezo but bongo zozo ni mechi tu za Taifa stars na ukiangalia mechi ngapi taifa stars zimecheza?
Kama tuzo ni za tff na sio za ligi kuu kwanini wasinge husisha ligi zingine, kama ligi daraja la kwanza, la pili na la tatu ili kutafuta waliofanya vizuri katika soka kwa mwaka husika?Tuzo niza Tff sio Ligi kuu kama msimu uliopita ambapo voda ndo walikua wanazihost
Ni shabiki ndaki ndaki wa Lipuli mkuu
Tff ya karia na bodi ya ligi, tumuachie Mungu tuLakini mkuu Nugaz kuachwa Sijui wametumia kigezo , Mimi ni Simba Ila kwa ligi kuu kwenye uhamasishaji wanajulikana watu watatu tu bila uhasama Minara ,Nugaz na Masau bwire .
Kwanza kwa ligi kuu wamehamasisha karibia ligi kuu mechi zote ,Manara Simba amehasisha .
Kwenye hao watatu vigezo vitumike either watumie mashabiki kupiga kura au vingine ila waangalie vigezo but bongo zozo ni mechi tu za Taifa stars na ukiangalia mechi ngapi taifa stars zimecheza?
Mhamasishaji bora Ni yule aliyewezesha mashabiki wengi kuingia kiwanjani na yakapatikana mapato mengi. Kwangu Mimi Antonio Nugaz.TFF wameandaa tuzo na ambao wanagombea tuzo ya mhamasishaji bora wapo watatu.
1. Masau Bwire
2 .Haji Manara
3. Bongozozo
Mnaona nani anastahili hapo?