sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wewe ni genius!Zuchu ndo msanii Bora wa kike kuwahi kuzaliwa hapa bongo
Basi tuseme insha'AllahMimi, sababu wote nawakubali, shost na mkaka wote wako vizuri kwenye style zao za kuimba, i like their tyles
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha nyie watuZuchu ndo msanii Bora wa kike kuwahi kuzaliwa hapa bongo
Amini hakuna female musician hii east africa anayemzidi Zuchu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha nyie watu
Wee shen em huko, huyo Zuhura anaimba nn kwani? Hizo taarabu zake? Anabebwa na lebo tyuuh.Amini hakuna female musician hii east africa anayemzidi Zuchu
Hiyo ni pure talent, usianze kumchukia alafu ndio umsikilize. Anza kwanza kumsikiliza ndio umchukieWee shen em huko, huyo Zuhura anaimba nn kwani? Hizo taarabu zake? Anabebwa na lebo tyuuh.
Hana lolote. Msimkuze hapa.
Simchukii huyo zuhura, ila ukweli hana lolote ktk kuimba music, alipokuwepo ndo panambeba.Hiyo ni pure talent, usianze kumchukia alafu ndio umsikilize. Anza kwanza kumsikiliza ndio umchukie
Kama anabebwa na lebo mbona Queen Darleen ameshindwa kubebwa na hiyo lebo?
imba wewe basiWee shen em huko, huyo Zuhura anaimba nn kwani? Hizo taarabu zake? Anabebwa na lebo tyuuh.
Hana lolote. Msimkuze hapa.
Sawa beki 3 wa kwa Hadija Kopa.Zuchu ndo msanii Bora wa kike kuwahi kuzaliwa hapa bongo
Waswahili aana msemo.wao "njsa nyumba uliyofikia "Simchukii huyo zuhura, ila ukweli hana lolote ktk kuimba music, alipokuwepo ndo panambeba.
Ukweli usemwee.
Nimekuuliza hiyo lebo kumbeba, mbona haijambeba queen darleen?Simchukii huyo zuhura, ila ukweli hana lolote ktk kuimba music, alipokuwepo ndo panambeba.
Ukweli usemwee.
Hilo jumba la neema kwa nn halijambeba queen darleen?Waswahili aana msemo.wao "njsa nyumba uliyofikia "
Zuchu yupo kwenye jumba la neema na ndio kinachombeba
Hawezi kuja kukujibu hili swaliHilo jumba la neema kwa nn halijambeba queen darleen?