Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
CHADEMA kunafuka moshi, panatotoka, mvua inanyesha tunaona panapovuja. Lissu alipokuja waliona jamaa anatania na hoja zake, sasa wameona mwamba kashikilia msimamo wamekuwa kama wameamshwa kutoka usingizini, hawaelewi nini kinatokea, nyufa zinaanza kuonekana.
Ukiangalia wote hao ni timu Mbowe au wana ukaribu na CCM pamoja na Abduli na mama yake (kwa sauti ya Lissu). Vuguvugu hili si tu ni sababu ya No Reforms, No Election, bali ni vita pa kwa Lissu.
Turudi kwenye swali la msingi, nani anatoa hela za hawa G55 kufanya mikutano? Tunafahamu CHADEMA wanachangiwa Tone Tone na wananchi, hawa wanachangiwa na nani? Mbowe au CCM?
Hapa haiihitaji hata kuwa na D mbili, jibu lipo kweupeee. Anyhu, acha kuendelee kunyesha tuone panapovuja🌚

Msitufanye watu ni wajinga bwana