Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Hahahahahaha! We kweli ni cute wife!Chama cha Mambuzi bado hamjasema mwaka huu, mwendo wa kunyooshwa kila sehemu. Tunasubiri ripoti ya CAG ikabidhiwe bungeni tuwakande vizuri
Jidanganye uache kutumia muda mwingi kutoa unyumba na badala yake ushinde humu kupiga hizo propaganda zenu za kitoto. CCM ni lidude likubwa sana utajikuta umekosa vyote dada'angu; uongozi na mume.