Ukiwa na D mbili tu na F Moja unaelewa.Wakuu,
CHADEMA kunafuka moshi, panatotoka, mvua inanyesha tunaona panapovuja. Lissu alipokuja waliona jamaa anatania na hoja zake, sasa wameona mwamba kashikilia msimamo wamekuwa kama wameamshwa kutoka usingizini, hawaelewi nini kinatokea, nyufa zinaanza kuonekana.
Ukiangalia wote hao ni timu Mbowe au wana ukaribu na CCM pamoja na Abduli na mama yake (kwa sauti ya Lissu). Vuguvugu hili si tu ni sababu ya No Reforms, No Election, bali ni vita pa kwa Lissu.
Turudi kwenye swali la msingi, nani anatoa hela za hawa G55 kufanya mikutano? Tunafahamu CHADEMA wanachangiwa Tone Tone na wananchi, hawa wanachangiwa na nani? Mbowe au CCM?
Hapa haiihitaji hata kuwa na D mbili, jibu lipo kweupeee. Anyhu, acha kuendelee kunyesha tuone panapovujaπ
Nyumbu Kila mkikaa nyuma kwenu linawawasha jina la Samia, sio?Mbowe na Samia Ndio wanaotoa hizo fedha no reform No election
Acha nyumbu waitwe nyumbu.Wabunge wanakosa hela ya kulipia ukumbi kweli ?
Hapo hawaitaji hata kuchanga. Ni mbunge mmoja tu analipia ukumbi na gharama zingine
Kuna mbunge gani hapo kwenye hilo kundi?Wabunge wanakosa hela ya kulipia ukumbi kweli ?
Hapo hawaitaji hata kuchanga. Ni mbunge mmoja tu analipia ukumbi na gharama zingine
Kuna mbunge gani hapo kwenye hilo kundi?
Tulia dawa ikuingieπππ, kidogo tu unaanza kuchafukwa, akiwa serious si utakufa kwa kihoroππNyumbu Kila mkikaa nyuma kwenu linawawasha jina la Samia, sio?
,bona mama wa watu amewapuuza kitambo sana na yupo tu habari zake? Kwanini na nyie msishughulike na habari zenu?!!!
Bana weee, nani hajui kama ulimkata mkono damu ikimwagika ni kijani?ππNdio sababu tuliitwa binadamu,binadamu wako creative iwe kwa mabaya au kwa mazuri.
Hao G55 wana jua survial skills,yawezekana wamefanya home work,wakajua wapi pa kutafuta funds kwani si walikuwa humo humo.Wanajua loop holes nyingi za Chadema.
Mrema alikuwa finance director unadhani alitolewa akipenda?
Lakini hizo habari za kufanya mikutano sidhani kama ni za kweli.Nani atawapa kibali?