D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 Apr 6, 2025 #21 Cute Wife said: Chama cha Mambuzi bado hamjasema mwaka huu, mwendo wa kunyooshwa kila sehemu. Tunasubiri ripoti ya CAG ikabidhiwe bungeni tuwakande vizuri Click to expand... Hahahahahaha! We kweli ni cute wife! Jidanganye uache kutumia muda mwingi kutoa unyumba na badala yake ushinde humu kupiga hizo propaganda zenu za kitoto. CCM ni lidude likubwa sana utajikuta umekosa vyote dada'angu; uongozi na mume.
Cute Wife said: Chama cha Mambuzi bado hamjasema mwaka huu, mwendo wa kunyooshwa kila sehemu. Tunasubiri ripoti ya CAG ikabidhiwe bungeni tuwakande vizuri Click to expand... Hahahahahaha! We kweli ni cute wife! Jidanganye uache kutumia muda mwingi kutoa unyumba na badala yake ushinde humu kupiga hizo propaganda zenu za kitoto. CCM ni lidude likubwa sana utajikuta umekosa vyote dada'angu; uongozi na mume.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Apr 6, 2025 #22 Hao G55 washindwe na walegee, njia zao ziwe na giza na utelezi. Kwa nini wanakifedhehesha chama? Wajue watashindwa na kufedheheka
Hao G55 washindwe na walegee, njia zao ziwe na giza na utelezi. Kwa nini wanakifedhehesha chama? Wajue watashindwa na kufedheheka