OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Ninafanya utafiti ambao umenihitaji kufungua Hansards za bunge tangu 2003 hadi leo. Japo hii sio moja ya lengo la tafiti yangu lakini nimeona niandike hapa nilichokiona na nia ya kubadilisha ili kuwa na mambo yenye tija kwa nchi yetu
Mawazo ya wabunge hayako supported na tafiti wanapotoa michango dhidi ya sera au miswada ambayo inawekwa mezani, hali hii inaonesha wengi huwa hawana uelewa na mijadala husika hali inayofanya wakibali bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusu jambo husika.
Mfano wa kawaida ni kuwa, Aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba 23 Aprili 2004 alitoa wao la kuwatoza machinga Tsh. 20,000 kwa mwaka, wazo hilo limekuja kuwa implemented mwaka 2018, ni miaka 14 baadaye.
Aidha nikijikita kwenye suala la wabunge kutokuwa wasomaji wa tafiti utaona utofauti wa mawazo yao ambapo watu huwa tofauti bila kuwa na sababu ya msingi wa kuwa hivyo. Nikitoa mfano wa masuala ya machinga, wapo wanaoamini ukikuza kilimo machinga watapungua, huku wengine wakiona haja ya kuboresha mazingira ya machinga.
Ipo haja ya wabunge kuwa wasomaji wakubwa wa tafiti zilizopo ili kuweza kuchangia hoja mbalimbali bungeni wakiwa na uhakika wa wanachokisema bila kuwa na subjectivism.
Mbali na kuwa tafiti zilizopo zinamashaka mengi, lakini walau kwa sasa TCU imeweka kuwa suala la lazima kwa mwanafunzi wa masters na PhD kuwa na publications ili kugraduate, na publications huwa zinataka mtu ambaye ametafiti vyema scientifically
Ili kuacha kuendelea kujaribu jaribu masuala kwa subjectivity ni muda sasa wa kuwa na sera na sheria ambazo zimeshibishwa na tafiti
Signed OEDIPUS