Nani anatuwakilisha US-Africa Business Summit, Luanda, Angola?

Nani anatuwakilisha US-Africa Business Summit, Luanda, Angola?

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Nani mwakilishi wetu huko kwenye US-Africa Business Summit inayofanyika Luanda, Angola? Makamu yupo
Roma,Italy, PM Bungeni.
Tujitahid tuhudhurie hii kitu muhimu sana. Najua hatutakosa mikopo huko
 
Labda steve mengele na wakina shyshy na bongo movie wasanii wa mzki

Ova
 
Vitu vidogo sana hiyo kuhudhuriwa na nchi yenye uchumi mkubwa kama sisi.
Kwa hata idadi ya viwanda tulivyonavyo zaidi ya 28,000 hauoni hapo 😀 😀
 
Back
Top Bottom