Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
pamoja na kikokotoo hicho ila still raia wana push 2020 Rav.4
Asee hii gari ni nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja na kikokotoo hicho ila still raia wana push 2020 Rav.4
Point muhimu sana, (ukimuondoa Trump).Trump awakatae na watu weusi maana akili zzetu zmejaa tamaa na hazifikirii..hiv ukiruhusu gar zikiwa nying..huon kama pesa ya kodi itaongezeka..watumia wese watajaa..road license..traffic..nk
TRA waangalie upya hii changamoto, wakipunguza kodi watu wakiwa wengi wanaomiliki magari na kodi itaongezeka
Nafikiri ni common sense, hesabu, kuna unasafiri kama wa aina tisa/kumi.Kodi tunataka kulipa ila ni kandamizi
Sasa mamlaka husika ndio zimepandisha kodi zaidi mkuu.Hiyo ndio hali halisi kwa ununuzi wa magari vs Kodi utakayolipa.
Kuna haja mamlaka husika walitazame upya hili, maana imekuwa ni kilio cha wengi.
Hivi hizi wizara huwa hawafanyi tasmini kabla ya kuruhusu mamlaka zilizo chini yao kupitisha kodi mpya au viwango vipya vya tozoNafikiri ni common sense, hesabu, kuna unasafiri kama wa aina tisa/kumi.
Miguu, baiskeli, bajaji, bodaboda, gari, treni, ndege, mitumbwi, ships.
Unalima (labda nyanya, matunda) ili kufikia soko unahitaji usafiri wa haraka. Ni usafiri gani utakusaidia kuchukua mazao mengi yako yasiozea shambani? Hadi airport, sokoni, treni?
Usafiri ni kama damu kwenye mishipa ya binadamu. Inapita kwenye moyo, ubongo, uzalishaliji, mikono, miguu, macho kila kitu.
Sasa kama unapunguza damu kufika moyoni, kwenye ubongo utamuua mgonjwa.
Nadhani hawa watu wanaopanga hizi kodi hua hawaishi kwny haya mazingira yetu halisi mkuu.Hivi hizi wizara huwa hawafanyi tasmini kabla ya kuruhusu mamlaka zilizo chini yao kupitisha kodi mpya au viwango vipya vya tozo
Mamlaka hizi boss wao ni nanikama sio wizara, lakini mbona ni kama wizara zinapangiwa utaratibu na mamlaka hata kama zinajiendesha ni lazima kupewa muongozo na wizara husikaSasa mamlaka husika ndio zimepandisha kodi zaidi mkuu.
Wanaishi na wanajua hali halisi ya maisha yetu sema waba vipato tofauti na raia wa kawaida je mwenye shibe tangu lini amjue nwenye njaaNadhani hawa watu wanaopanga hizi kodi hua hawaishi kwny haya mazingira yetu halisi mkuu.
Ni kama vile wao ni Aliens hivi.
Mkuu nadhani Targets walizowekewa zimekua kubwa sana imebidi nao wakaze tu kama vile hali halisi hawaioni huku chini.Mamlaka hizi boss wao ni nanikama sio wizara, lakini mbona ni kama wizara zinapangiwa utaratibu na mamlaka hata kama zinajiendesha ni lazima kupewa muongozo na wizara husika
Hakika mkuu hawawezi kumjua mwenye njaa.Wanaishi na wanajua hali halisi ya maisha yetu sema waba vipato tofauti na raia wa kawaida je mwenye shibe tangu lini amjue nwenye njaa
Wizara zipo kwa kazi gani boss?Hivi hizi wizara huwa hawafanyi tasmini kabla ya kuruhusu mamlaka zilizo chini yao kupitisha kodi mpya au viwango vipya vya tozo
Sio bila Kodi,wangeweka tu Kodi rafiki sio hii ya kukomoanabila kodi watu wengi tungekuwa na magari
Unadhani serikali haitaki pesa?That's common sense, simple economics. Yaani mfano unakazana kuchukua kodi ya millioni kumi kwa watu elfu tano.
Ungeweka mazingira ungepata kodi ya millioni tatu kwa watu millioni kumi. Ndani mwaka mmoja.
Direct and indirect benefits, Nchi itachangamka sana, kodi itaongezeka sana, ajira zitaongezeka sana, wagonjwa watawahishwa hospitalini, ajali za barabarani zitapungua. Vijiji vitapumua kukua, kujitegemea. Viwanda vitatengezwa, mazao kuuzwa kwa masoko ya Nje. Sababu wanaweza kusafirisha mazao yao kwa haraka, popote.
Biashara zao zitashamiri. Kwahiyo kuongea mapato cha serikali. Uchumi kukua.
Tuna wizara ya Fedha na mipango. Ni bora ifutwe kabisa, kuna anayejua basics za uchumi ( demand and supply). How economies grows.
Kodi, mazingira, kasi ya kupata vibali, kutokuwepo kwa rushwa, kuheshimiwa kwa private property, haki ya mtu binafsi ni misingi mikubwa.
Uko sahihi lakini basi jivi vigari vya kawaida ndiyo wangeweka kodi zake kuwa juu kidogo, halafu hizi gari za middle class wange maintain kodiUnadhani serikali haitaki pesa?
Wagonjwa watawaishwa hospitalini kwa barabara zipi kama kila mtu ana gari?
Japan yenyewe nasikia pamoja ya kuwa magari ni cheap ila kuna sheria ili umiliki gari. Wengi wanatumia public transport.
Nchi lazima iweke control ya importation ya magari vesus miundombinu iliyopo. Hapo dar na mibarabara kila kona ila foleni just imagine mikoani kusipo na miundombinu kila mtu akawa na ist.
Hapa na mm sielewi kwann nchi yetu iliamua hivi.Uko sahihi lakini basi jivi vigari vya kawaida ndiyo wangeweka kodi zake kuwa juu kidogo, halafu hizi gari za middle class wange maintain kodi
TRA waangalie upya hii changamoto, wakipunguza kodi watu wakiwa wengi wanaomiliki magari na kodi itaongezeka