Nani Anawadharau WCB?

Nani Anawadharau WCB?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Huwa nashangaa sana kuona mtu anakuja na kuidharau wcb kisa ceo ni diamond! diamond ni mtoto mdogo sana lakini anawahenyesha wakubwa

Zamani matangazo ya fiesta yalikuwa hayana vijembe na yalikuwa yakawaida sana kwasababu waliamini hakuna zaidi yao! walikuja efm na mziki mnene lakini haikuwa na nguvu katika fiesta

Diamond alipo tangaza kuwa wasafi festival ni tarehe 24 siku ambayo fiesta watakuwa wanafunga tamasha lao! nikaona mabadiriko katika matangazo yao wameanza kupata tabu sana kwasababu tu ya wasafi festival inayo fanyika mtwara mbali kabisaaa na dar es salaam! sasa clouds pamoja na ukubwa wao bado wanahaha na wasafi festival ya kijana mdogo sanaa, vyovyote vile wasafi wa win au wa loose ila wameshabadiri upepo wa sanaa tanzania! naona sasa wana hip hop wanapata nafasi kitu ambacho mziki mnene na fiesta ilishindwa kufanya! naona sasa taarabu inakumbukwa kitu ambacho mziki menen na fiesta ilishindwa! si ajabu hadi bendi zikaenda mtwara na kwingineko ila sasa clouds wanahaha

Diamond ndie alie anzisha matangazo ya mziki kwa njia ya video zile za kama movie kitu ambacho clouds wameiga lakini wameshindwa! haya ndio mapinduzi ya sanaa tunayo yataka kuyaona

Wasafi festival imeanza kwa kupata mdhamini mkubwa sanaaaaa tanzania pepsi kampuni kubwa sana tanzania kitu ambacho fiesta inaanza ilishindwa kuanza nacho hii inaonesha ni kwa namna gani wadhamini wanaona kuwa diamond ni mtu ambaye yupo serious kikazi naamini kabisaa huenda wasafi wamekataa wadhamini wengi tuuu!

Mapinduzi haya ya burudani kama diamond atasamama imara bila upendeleo huenda baada ya miaka 2 fiesta asiwe mshindani wake! sasa ameonesha ukaribu na nandy na hapa i bet huenda nandi akaaicha fiesta na kwenda wasafi festival ni suala ya muda tuuu ila tutapata majibu! msanii mkubwa wa kwanza wizkid ameshatangazwa kuja dar kwenye wasafi festival kitu ambacho fiesta wamekishindwa kwa miaka kadhaa,tutegemee makubwa sana kwenye hii wasafi festival! huenda tarehe 24 dar watu wakawa wachache sana

Nimejiuliza kama wasafi festival ingeanzia morogoro hapo karibu na dar nauli elfu 5 fiesta wangepanic vipi? haya mapinduzi ya burudani ni makubwa sana! wasafi festival inatangazwa kwenye social media tuu na wasafi fm ambayo inasikika dar tuu pamoja na wasafi tv ambayo wengi hawajakaa kuiona lakini imepata nguvu sanaaaa

sasa nani ana wadharau wcb?
 
Sikuwahi kuamini kwamba WCB/Wasafi Kusaga ana share, hata kwa matamko yote yaliyotajwa na watu, maana hakuna evidence.

Ila baada ya Wasafi FM kuwa hewani kuna baadhi ya siku matangazo huwa yanapotea inasikika Coconut FM ya Zanzibar ambayo tunajua mmiliki wake.

Swali linakuja kweli Kusaga anaweza kumuuzia frequency adui?

Na maana yake ni nini kuinvest kwenye rival companies?
 
Mnaishi kwa kiki,zimeisha hadi mmeanza kumtumia dudu baya,kufananisha wasafi na clouds ni umama,wasafi ndo wanaanza safari,clouds ni habari nyingine
 
Huwa Nashangaa Sana Kuona Mtu Anakuja Na Kuidharau WCB kisa CEO ni Diamond! Diamond Ni mtoto Mdogo sana Lakini Anawahenyesha Wakubwa

Zamani Matangazo Ya Fiesta Yalikuwa Hayana Vijembe Na Yalikuwa Yakawaida Sana kwasababu waliamini Hakuna Zaidi Yao! Walikuja EFM na Mziki MNENE lakini Haikuwa Na Nguvu Katika FIESTA

Diamond Alipo Tangaza Kuwa WASAFI FESTIVAL ni tarehe 24 siku ambayo Fiesta Watakuwa Wanafunga Tamasha Lao! Nikaona Mabadiriko Katika Matangazo Yao wameanza Kupata Tabu sana Kwasababu Tu ya Wasafi Festival Inayo Fanyika MTWARA mbali Kabisaaa Na Dar Es Salaam! Sasa Clouds Pamoja Na Ukubwa Wao Bado Wanahaha na Wasafi Festival Ya Kijana Mdogo sanaa, Vyovyote vile Wasafi Wa win Au Wa Loose ila wameshabadiri Upepo Wa Sanaa Tanzania! Naona Sasa Wana Hip Hop Wanapata nafasi Kitu ambacho MZIKI MNENE NA FIESTA ILISHINDWA kufanya! Naona Sasa TAARABU inakumbukwa Kitu ambacho MZIKI MENEN NA FIESTA ilishindwa! Si Ajabu Hadi Bendi Zikaenda Mtwara Na Kwingineko Ila Sasa Clouds Wanahaha

Diamond Ndie Alie anzisha Matangazo Ya Mziki Kwa Njia Ya video zile za Kama Movie Kitu ambacho Clouds Wameiga Lakini Wameshindwa! Haya ndio Mapinduzi ya Sanaa Tunayo Yataka Kuyaona

Wasafi Festival Imeanza Kwa Kupata Mdhamini Mkubwa sanaaaaa TanzaniA PEPSI Kampuni Kubwa Sana Tanzania Kitu ambacho Fiesta Inaanza Ilishindwa Kuanza Nacho hii inaonesha Ni kwa Namna Gani Wadhamini Wanaona Kuwa Diamond Ni mtu ambaye Yupo Serious Kikazi Naamini Kabisaa Huenda Wasafi Wamekataa Wadhamini Wengi Tuuu!

Mapinduzi Haya Ya Burudani Kama Diamond Atasamama Imara bila Upendeleo Huenda Baada Ya Miaka 2 FIESTA asiwe Mshindani Wake! Sasa Ameonesha Ukaribu Na Nandy Na Hapa I bet Huenda Nandi Akaaicha Fiesta Na Kwenda Wasafi Festival ni suala ya Muda Tuuu ila Tutapata Majibu! Msanii Mkubwa Wa Kwanza WIZKID ameshatangazwa Kuja Dar Kwenye Wasafi Festival Kitu ambacho Fiesta Wamekishindwa Kwa Miaka Kadhaa,Tutegemee Makubwa Sana Kwenye Hii Wasafi Festival! Huenda Tarehe 24 Dar Watu wakawa Wachache Sana

Nimejiuliza Kama Wasafi Festival Ingeanzia Morogoro hapo karibu na Dar Nauli Elfu 5 Fiesta Wangepanic Vipi?

Haya Mapinduzi Ya Burudani Ni makubwa sana! Wasafi Festival inatangazwa Kwenye Social Media Tuu na Wasafi FM ambayo inasikika Dar Tuu pamoja Na Wasafi TV ambayo wengi hawajakaa kuiona Lakini Imepata Nguvu sanaaaa

Sasa Nani Ana WADHARAU WCB?
Nani aliyekwambia Wasafi Festival na Wasafi FM/TV ni vya Diamond?
 
Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
 
Watu mnafurahisha sana fanya wewe hizo harambee hakuna aliyekuzuia.
Burudani ni kati ya vyanzo vya mapato inaitwa entertainment industry ni kiwanda kikubwa cha kuzalisha ajira na kuingiza kipato. Mfano ukitajiwa namba ya watu walioko nyuma ya Fiesta utagundua kuna ajira kubwa sana nyuma yake ni zaidi ya watu 50 ambao hata hujawahi kuwasikia na si watangazaji.
 
Nasubiri festival ya dar tu hapa
 
[emoji3][emoji3]

Jibu zuri mno
 
Ukweli mmepishana sana kimtazamo. Lakini wewe umeanza kupoteza utu.
 
Back
Top Bottom