kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Sasa hio siyo tatizo la entertainment industry bali ni tatizo la serikali yako kutotengeneza mfumo rasmi wa kuwafanya hao vijana walipe kodi. Na hata kama hawalipi kodi ya paye hao vijana bado vipato wanavitumia kununua bidhaa amabzo zina VAT ambayo nayo ni kodi kwa serikali. Bado wanapata vipato ambavyo vinawafanya wasiwe tegemezi na kuwa mzigo kwa familia maana Afrika hatuendelei kwakuwa unakuta mtu ana ajira lakini ana mzigo wa watu tegemezi wengi.V
Vijana gani hao waliojiajiri ambao hawalipi kodi serikalini ?zaidi ya kuchezesha nyimbo za kipuuzi tu zisizokuwa na maana kwa kupanua jamii kimawazo mmeamua kutumia elimu duni ya vijana wetu kuwaibia watanzania maskini kwa matamasha yenu .Ipo siki serikali itashtula na itayafungie tu .Radio zetu zinakesha kutangaza matamasha badala ya kukesha kuhamasisha ushindani kwenye elimu na hata biashara
Kuna TBC radio ndiyo kazi yake hizi redio ni redio za watu binafsi na zimeanzishwa kwa marengo tofauti usiforce mambo. Halafu wewe hapo zaidi ya kulalamika umefanya nini kati ya hayo unayosema ili wengine waige? Au wewe hufai kufanya hayo inabidi wafanye wengine?