cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Wajinga watakubishiaWasifi + Clouds = baba mmoja, mama mmoja
Wanajua kucheza na akili zetu hawa wanatengeneza hela tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga watakubishiaWasifi + Clouds = baba mmoja, mama mmoja
Wanajua kucheza na akili zetu hawa wanatengeneza hela tuu
Kama wewe ni shabiki au mpenzi wa hiyo Label.I
Interest gani mkuu
Jibu swali wewe TIMU MAVI....GT huwa hawapanic wanatema hoja tu,NANI ALIYEKWAMBIA KWAMBA WASAFI TV/RADIO na WASAFI FESTIVAL NI YA DIAMOND?Bila shaka itakuwa ni ya baba yako.
Nani alikwambia sio vya Diamond?
Dah,haiwezekana nikawa mpemzi wa kitu ambacho hakina maana kwangu .Kama wewe ni shabiki au mpenzi wa hiyo Label.
Lazima kueleza ndugu zetu wanaopotshwa na wajanja kama nyieSasa kama siyo jukumu lako kutueleza ulichofanya basi siyo jukumu lao kufanya harambee za elimu. Fanya wewe burudani waachie wafanye wao siku wakijisikia kuhamia kwenye elimu watahama usipangie watu vya kufanya maana hawajakuomba mchango wakat wa kufanya hivyo.
inaonyesha una tatizo kubwa la kisaikolojiaHaya matamasha yapigwe marufuku kwa maana hayajengi kizazi kijacho bali ni kubomoa kizazi kuanzia fikra hadi maadlili
Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
Diamond alitoa kadi za bima 1000 mtaani..Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
Mjanja ndiye wakumsikiliza siyo mshamba maana hana cha kukueleza maana ni mshamba hajui lolote.Lazima kueleza ndugu zetu wanaopotshwa na wajanja kama nyie
Kumbe wewe ni kiazi kiasi hiki??..[emoji23][emoji23]Lazimq
Lazima utakuwa na tatizo la akili si bure,hivi unawezaje kufananisha entertaiment industry ya usa na ya Tanzania?ulishawahi hudhuria tamasha hapa USA ?
unajua maana ya direct tax Mkuu?Wewe ndiyo una tatizo ndiyo maana nimekwambia ni kazi ya serikali kuijengea entertainment industry ya Tanzania mfumo rasmi ili hao waliomo walipe kodi, huwezi kulipa kodi kama serikali haijakudai hiyo kodi. Na narudia vipato vyao wanavitumia kununua bidhaa na huduma ambazo zina VAT bado serikali inanasa kodi toka kwao kwa upande mwingine japo inakosa PAYE. Halafu kwa kuongeza ni kwamba kuna wasanii wanalipa kodi hiyo ya PAYE mfano diamond juzi alisema akipiga show akalipwa 170 million TRA hawakosi kodi ya 48 mls na aliandika wakati ana waadress BASATA na TRA hawakupinga hilo.
Hata hiyo entertainment industry ya Marekani haikuanza vuup ikawa ilipo kwa sasa ilianza taratibu na mfumo ukajengwa na serikali sasa wewe na akili yako ya kwenye box unawaza kufunga tu huo unaitwa uzwazwa na kuona kwa urefu wa pua yako.
Najua kuliko unavyo fikiria....Unajua maana ya unajua maana ya direct tax Mkuu?
Una uhakika na unachosema ,hivi hizo kadi zinatolewa kama karanga ?Diamond alitoa kadi za bima 1000 mtaani..
Wewe umewahi kutoa nini??
Hata kama kipato chako ni 10000 unewahi kutoa sh 100 kwa jamii??
Halafe leo unapata moral authority ya kumsema diamond eti afanye halambee wakati wewe hata 100 hujawahi kutoa kwa jamii
Uchumi wa kati kwa matamasha yanayo hamasisha ngono zembe? Bro uchumi wa kati haujengwi kwa kukatika viuno na hata siku moja mauno hayapo kwenye viashiria vya uchumi wa kati you Idiot.Mjanja ndiye wakumsikiliza siyo mshamba maana hana cha kukueleza maana ni mshamba hajui lolote.
Naona nampigia mbuzi guiter, ila kwa mawazo haya kama ndiyo mawazo ya watanzania wengi sahau kuhusu kujenga uchumi wa kati....
Ngoja labda nikueleweshe kidogo labda utaelewa na usipoelewa basi hutokaa uelewe.Uchumi wa kati kwa matamasha yanayo hamasisha ngono zembe? Bro uchumi wa kati haujengwi kwa kukatika viuno na hata siku moja mauno hayapo kwenye viashiria vya uchumi wa kati you Idiot.
We tatizo lako nn, this is free country na kila mtu ana haki kuchagua as long hela anatafuta mwenyewe. Mara useme wafanye harambee, mara wasifanye wataharibu vijana (wakifanya kama harambee hayo matamasha ndio hawaharibu vijana) WEWE NI KAMA NANI UWAPANGIE WATU CHA KUFANYA. We kama maswala yako ya imani ni ww Kuna watu hawana dini, mwisho wa mwaka wachaga wanaenda kuruka debe kwao na wazaramo wanaenda kucheza mdundiko, waache watu wafurahi kwani hatupo vitani. Kuhusu hilo swali la kadi kawaulize resolution insurance au katembelee page zao za social networking.Una uhakika na unachosema ,hivi hizo kadi zinatolewa kama karanga ?
Ungekuwa na uwezo wa kufikiri sawa sawa sidhani kama ungeweza kuwa mnazi wa matamasha yasiokuwa na maana yoyote ya kumuendeleza mtanzania mwenzako kifikra mkuu.Pole sanaNajua kuliko unavyo fikiria....
Ila nakushauri uache kufikiria kwa urefu wa pua yako uwe unafikiria vitu kwa mapana zaidi...
Acha kuhamaki kwa kutetea upuuzi wenu ,acheni kabisa kuwadanganya watanzania wenzetu ambao upeo wao ni mdogo na mnawadanganya walipe kiingilio kuja kuona wanaume wanakata viuono na waliovaa hereni.We tatizo lako nn, this is free country na kila mtu ana haki kuchagua as long hela anatafuta mwenyewe. Mara useme wafanye harambee, mara wasifanye wataharibu vijana (wakifanya kama harambee hayo matamasha ndio hawaharibu vijana) WEWE NI KAMA NANI UWAPANGIE WATU CHA KUFANYA. We kama maswala yako ya imani ni ww Kuna watu hawana dini, mwisho wa mwaka wachaga wanaenda kuruka debe kwao na wazaramo wanaenda kucheza mdundiko, waache watu wafurahi kwani hatupo vitani. Kuhusu hilo swali la kadi kawaulize resolution insurance au katembelee page zao za social networking.
Nahisi hujanielewa mkuu,mimi sina tatizo na wanamziki uliowataja hata kidogo.Tatizo na hayo matamasha yanaharibu na kupumbaza watoto.Hayo matamasha angalao basi yangestahili kuwepo na ujumbe wa kuelimisha na sio kwenda kukatika viuno wanaume wazima na wamevaa hereni kama mabinti.Hivi wewe utajisikiaje siku mwanao atakapokuambia baba nataka nitoge masikio ili nifanane na mwanziki fulani ?Ngoja labda nikueleweshe kidogo labda utaelewa na usipoelewa basi hutokaa uelewe.
Tuchukulie mfano mdogo wa Diamond aliyekuwa akiishi tandale kwenye maisha amgumu sana.
kupitia mziki amebadirisha maisha yake mwenyewe, mama yake na ndugu zake.
Kamwezesha mama yake ana biashara kaajiri watu kamwezesha dada yake ana biashara na kaajiri watu na ana watoto anasomesha
Yeye mwenyewe kawasaidie wengine ray vanny, harmonize, lava lava, akina moze iyobo ambao nao chini yao kuna watu
kaajiri produce Laizer, wapiga picha, wapiga vyombo ka nusder the pianist, kawapa ajira akina babu tale na sallam sk.
Bado kapata mtaji wa kufungua kiwanda cha karanga japo wanasema siyo cha kwake lakini hata kuwa shareholder au partner ni kutokana na kazi yake ya mziki,
Bado kaanzisha tv ana redio ambayo imeajiri watu wengi sana.
Ukitazama yeye tu na ajira alizotengeneza na watu wanaonufaika si chini ya wanufaikaji 300+, na yote chanzo tu ni mziki huyo ni diamond tu.
Kuna vijana wengi ambao pasipokuwepo mziki na matamasha wangekuwa wakabaji.
Usifikirie kodi tu fikiria kipato wanachoingiza kinachangia kendeleza uchumi kupitia mambo wanayofanya kama kujenga wanapa ujira mafundi, wanasomesha watoto dnugu na jamaa, wanafanya manunuzi wanachangi kodi via VAT.
Na kila mtu hawezi kutoka kwakuwa daktari, mwanasheria, sijui engineer maana watu hatufanani ndiyo maana darasani kuna wa kwanza na wa mwisho.
Na pia ndiko kujiajiri kwenyewe maana sekta nyingine ikiwemo serikali imeshindwa na katu haiwezi kuajiri vijana wote.