OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Kwa sasa naona tumekumbwa na wimbi kubwa la Influencers kutumika katika masuala ya kiserikali. Mathalani hivi karibuni, ndugu Mwijaku alikuwa na deal ya utalii na kukawa na shida ya nani anamlipa, serikali kuitia bodi ya utalii au namna gani.
Hata hivyo, hii sio tukio la kwanza watu wengi mainfluence wamekuwa wakitumika kwenye kuzizungumzia ajenda mbalimbali za serikali mbali na uwepo wa wataalamu wa mawasiliano na idara ya habari maelezo ambayo wana nafasi hiyo ya kuwasiliana na umma.
Tumeona matumizi ya influencers kwenye DPW nk