Nani anawavalisha Viongozi/Marais wa Tanzania? Hawavai kizalendo

Nani anawavalisha Viongozi/Marais wa Tanzania? Hawavai kizalendo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu,

Kwenye hii picha kuna nguo na viatu vya aliyekuwa rais wa Tanzania Hayati John Magufuli.

Tutumie picha hii kutafakari Watanzania tulipo, Tulipotoka na tunapoenda?

Chemsha bongo. Unahisi Kiatu cha aliyekuwa rais wa Tanzania Magufuli ni Kipi? picha ya kushoto au Kulia?
Magu 1.png
 
Kulia ni Kikwete nyuma yake ni mpambe, Kushoto ni Magufuli.
 
..wacha kuvaa nguo na viatu toka nje.

..tuwashauri walindwe na silaha za jadi.

..miraba minne wanaolinda viongozi wetu, wabebe mikuki na mishale, na sio mabunduki, na mabastola, toka kwa mabeberu wanao'support ushoga.
 
Back
Top Bottom