figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,132 Reaction score 64,416 Apr 13, 2023 #1 Salaam Wakuu, Kwenye hii picha kuna nguo na viatu vya aliyekuwa rais wa Tanzania Hayati John Magufuli. Tutumie picha hii kutafakari Watanzania tulipo, Tulipotoka na tunapoenda? Chemsha bongo. Unahisi Kiatu cha aliyekuwa rais wa Tanzania Magufuli ni Kipi? picha ya kushoto au Kulia?
Salaam Wakuu, Kwenye hii picha kuna nguo na viatu vya aliyekuwa rais wa Tanzania Hayati John Magufuli. Tutumie picha hii kutafakari Watanzania tulipo, Tulipotoka na tunapoenda? Chemsha bongo. Unahisi Kiatu cha aliyekuwa rais wa Tanzania Magufuli ni Kipi? picha ya kushoto au Kulia?
AIRE MAN JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 221 Reaction score 65 Apr 13, 2023 #2 Write your reply...KUSHOTO
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,208 Reaction score 7,049 Apr 13, 2023 #3 Kulia ni Kikwete nyuma yake ni mpambe, Kushoto ni Magufuli.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,298 Reaction score 72,863 Apr 13, 2023 #4 ..wacha kuvaa nguo na viatu toka nje. ..tuwashauri walindwe na silaha za jadi. ..miraba minne wanaolinda viongozi wetu, wabebe mikuki na mishale, na sio mabunduki, na mabastola, toka kwa mabeberu wanao'support ushoga.
..wacha kuvaa nguo na viatu toka nje. ..tuwashauri walindwe na silaha za jadi. ..miraba minne wanaolinda viongozi wetu, wabebe mikuki na mishale, na sio mabunduki, na mabastola, toka kwa mabeberu wanao'support ushoga.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Apr 13, 2023 #5 Mdomo Koma