Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Sawa na sijakuomba msaada specifically wewe wapo watu watanisaidiaKwa vile uliwahi kunitukana jamvini siwezi kukusaidia dogo .
Sawa tu mkuu ahsante kwa muda wakoSawa ngoja waje , nimekumbuka passport yangu ngoja niipost kidogo kunogesha Uzi
Cc : loose Nut de Nyabumbu View attachment 3612522
Ahsante sana ubarikiwe mkuuAndika mwenyewe tu kiongozi hamnaga uhakiki wa hayo kibongobongo! Labda ya kuombea visa ya nchi ngumu km US
S
Ahsante sana ubarikiwe mkuu
Sawa ngoja nifanye kweli mkuu.Ingia kwa laptop yako au stationery fanya mambo usisogeze matapeli jirani yako kiongozi
Nipo tabora MkuuUthibitisho wa safari kwa ajili ya passport tu ni bla blah tu za immigration..learn to walk through back door. Kama huna haraka nenda mikoa isiyo na papara, ombea huko.
Bado MkuuHadi leo hujapata koba mkuu?! 😳
Wataomba barua ya muajiri. Nenda pale ATT Tabora wakupe barua au mtafute jamaa mwenye roli akuandikie.Nipo tabora Mkuu
Nadhani huu ni miongoni mwao mikoa isiyo na papara.
Nikisema mimi ni Tingo au Tan boy wa gari ya mizigo si inaweza kuwa sababu tosha ya kupata pasipoti?
Tabora hapana, ufatiliaji mwingi (wakimbizi)Nipo tabora Mkuu
Nadhani huu ni miongoni mwao mikoa isiyo na papara.
Nikisema mimi ni Tingo au Tan boy wa gari ya mizigo si inaweza kuwa sababu tosha ya kupata pasipoti?
DahTabora hapana, ufatiliaji mwingi (wakimbizi)
Hiyo sababu ya utingo watasuggest wakupe Ile pass tu ya siku 14..
Passport ni Haki Yako lakini sio Tz..
Acha kutaka unyoofu. Vinginevyo utachelewa sana🙏
Sawa mkuu ushauri mzuriWataomba barua ya muajiri. Nenda pale ATT Tabora wakupe barua au mtafute jamaa mwenye roli akuandikie.
Ungeweka sababu kama utalii au Biashara na unaenda Rwanda au Kenya wasingeomba uthibitishoSawa mkuu ushauri mzuri
Sawa ngoja nifanye kweli mkuu.
Kwani nikisema mimi ni Tani Boy wa Transit siwezi kupewa?