Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Watahitaji bank statement kakaWaambie unataka kwenda Zimbabwe kutalii, hiyo haihitaji barua ya uthibitisho
Ndio application form TayariUkienda uhamiaji pale stationary za karibu zinakupatia kila kitu.
Una documents zote? Ushapakua form ya uhamiaji kuombea passport?
Toa hela mkuuNaombeni msaada ndugu zangu,
Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari.
Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
Ningekupa mtu moja kwa moja ni simu moja tu ila tunaogopa anonymity sitafanya hivo Tena 😀😀Naombeni msaada ndugu zangu,
Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari.
Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
Hahaha ahsante ila hapo ni zaidi ya 150k mkuuNingekupa mtu moja kwa moja ni simu moja tu ila tunaogopa anonymity sitafanya hivo Tena 😀😀
Unapiga asubuhi siku 4 unapata passport
Britanicca
No siyo Rushwa ni mtu mzito yule hapokeagi rushwaHahaha ahsante ila hapo ni zaidi ya 150k mkuu
Noma sana Maisha ni watuNo siyo Rushwa ni mtu mzito yule hapokeagi rushwa
Nimecheka unamdorishiaSawa ngoja waje , nimekumbuka passport yangu ngoja niipost kidogo kunogesha Uzi
Cc : loose Nut de Nyabumbu View attachment 3612522
Ukisema Ni mfanyakazi watataka barua kwenye company yako sema ,Naombeni msaada ndugu zangu,
Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari.
Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipotiu
Sawa kwa ajili ya biashara Mkuu nitafanya hivyoUkisema Ni mfanyakazi watataka barua kwenye company yako sema ,
Kwa ajiri ya biashara
&
Mambo mengine uliza ai , itakuambia vitu vinavyo hitajika
Sahihi mkuuMbona passport inatoka bila mizunguko unayotaka kupitia.
Ingia kwenye website yao.
Jaza taarifa zako.
Watakuuliza sababu ya kusafiri, utachagua sababu unayoona inakufaa.
Baada ya hapo peleka ofisini na viambatanisho, utaulizwa maswali , ombi likipita unapigwa picha kisha unapewa siku ya kufuata.
Hapo ndipo unaweza kukaa hata miezi sita.
NIlienda mwezi wa 11 mwezi wa 2 nikapata.
SAbabu wew huna haraka unaweza kuvumilia kuliko kuanza kudanganya ukikamatwa unaweza hata kupata shida.
Nilijaza naenda kutembea uganda.Sahihi mkuu
Wewe ulitoa sababu gani ambayo ilipokelewa bila haja ya kuwa na uthibitisho wa
Uhitaji uthibitisho wa safari.Naombeni msaada ndugu zangu,
Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari.
Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
Ingekua jf hatuogopani ningekupa recommendation letter chap unaruka nayo.Ndio application form Tayari
Sina uhakika kama huku zipo mama Nipo Tabora Mkuu