kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Kama wanasayansi wangekuwa na mawazo kama yako hakika tungekuwa tunaishi bado kwenye dark agesBinadamu kiasili tumetokana na udongo kwani Vitabu vya dini vyote/zote vinajua kuwa asili ya mwenyewe baba yetu Adam aliumbwa kwa udongo
"Mwenyezi Mungu huumba anavyopenda. Anapohukumu jambo, huliambia 'kuwa' (basi) likawa".3:47Kama wanasayansi wangekuwa na mawazo kama yako hakika tungekuwa tunaishi bado kwenye dark ages
Tunataka prove hatutaki maneno bila ya uthibitisho
Mfano vitabu vya dini viteketezwe vyote halafu miaka 1000 mbele tuambiwe zirudishwe hakika hazitorudishwa lakini sayansi unaweza kuharibu hata ipite miaka 1000 kupitia experiment, nk zitarudishwa tu
Je maneno ya vitabu zina scientific proof
Ukitaka scientific proof, Muamini Darwin.Kama wanasayansi wangekuwa na mawazo kama yako hakika tungekuwa tunaishi bado kwenye dark ages
Tunataka prove hatutaki maneno bila ya uthibitisho
Mfano vitabu vya dini viteketezwe vyote halafu miaka 1000 mbele tuambiwe zirudishwe hakika hazitorudishwa lakini sayansi unaweza kuharibu hata ipite miaka 1000 kupitia experiment, nk zitarudishwa tu
Je maneno ya vitabu zina scientific proof
Binaadamu asili yake ni udongo hio haina pingamizi, ukichunguza maisha yote ya binaadamu anategemea udongo kuanzia makaazi, chakula na hata akimaliza muda wa kuishi sehemu ya kumuhifadhi ili asilete maudhi kwa wengine anarejeshwa kwenye udongo.Habar zenu humu. Nimeona Leo niulizee hili swali tunaambiwa binadamu wote ni udongo kwa sababu tumeumbwa kwa udongo. Lakin katika hali ya kawaida sisi sote tunazaliwa na hakuna ambaye tumeona kaumbwa kwa udongo. Je nani anaweza kutupa uthibitisho wa kuwa sisi ni udongo
Swali la pili naombeni nafsi ni nin na kaz zake ni zipi pia naomba kupewa mahusiano ya karibu katika ya moyo na nafsi . kipi kina umuhimu zaid na kina nguvu kuliko kingine katika maisha ya kila siku ya binadamu
Asanten
Zipo kwasababu anakula vitu kutoka ardhini na sii kwasababu ameumbwa navyo! Kwanza hamna uthibitisho wa kuumbwa kwa mwanadamuDhahabu,almasi,shaba zooote ziko mwilini
Kumbe ni vitabu vinajua na sio sisi!Binadamu kiasili tumetokana na udongo kwani Vitabu vya dini vyote/zote vinajua kuwa asili ya mwenyewe baba yetu Adam aliumbwa kwa udongo
Acha kukariri upumbavuBinadamu Wa kwanza 'aliumbwa' Kwa udongo, Mungu aligrant binadamu Wa kwanza uwezo Wa kuongezeka Kwa kusema "mkazaliane na kuijaza dunia',uzao Wa sasa ni nyama kama tuonavyo,
Kwanini niamini badala ya kujua?Faith does not ask why!
Kama unaamini maandiko matakatifu, hauna haja ya kufanyia utafiki wa kisayansi neno la Mungu.
Ondoa matapishi huku inteligensia tafadhali!"Mwenyezi Mungu huumba anavyopenda. Anapohukumu jambo, huliambia 'kuwa' (basi) likawa".3:47
Aina nyingine za uumbaji ni ile ya usanii wa ufinyazi na kupitia wazazi wawili:
"Amemuumba mtu kwa udongo wa ufinyanzi(utoao sauti) kama vyombo vya udongo(55:4)
Na katika ishara zake (za kuonyesha uwezo wake) ni huku kukuumbeni kwa udongo, kisha mumekuwa watu mnaoenea (30:20).
"...... amekuumbeni katika nafsi moja. Na akamuumba mkewe katika nafsi ile ile. Na akaeneza wanaume wengi na wanawake kutoka katika wawili hao(4:1).
Nadhani hili jukwaa sio level yako. Sepa tu mkuuMwanadamu ni nyama na damu na maji maana katoka kwenye asili hiyo.hufa na kuishia katika udongo.unajua usomi mwingi huharibu akili tu,kitu si kinaonekana hata mtoto mdogo anajua