Binaadamu asili yake ni udongo hio haina pingamizi, ukichunguza maisha yote ya binaadamu anategemea udongo kuanzia makaazi, chakula na hata akimaliza muda wa kuishi sehemu ya kumuhifadhi ili asilete maudhi kwa wengine anarejeshwa kwenye udongo.
Tabia ya kuzaliana ni utaratibu tu wakuongeza na kuimarisha idadi ya binaadamu wala si kutu cha kushangaza, kwa mfano karatasi asili yake ni mti, kitambaa asilii yake ni mti nk lakini vitu vyote hivyo vina "out put" isiofanana na asili yake.
Katika suala la nafsi na moyo
Nafsi ni sehemu ya akili (conscious mind- ago part) ambayo inahusika na vitu vya kupendeza, utamu, raha,(kiufupi inauhusiana na tabia ya ubinafsi kwa kila mwanaadamu).
Moyo ni kiungo kinachofanya kazi ya kusukuma damu na vile vile kiungo hicho kinafanya kazi ya kumeza au kuhifadhi kwa muda mrefu maamuzi ya nafsi, kwa hio mara nyingi moyo na nafsi zina positive correlation.
nafikiri nimajaribu kujibu maswali yako