Nani anaweza kuthibitisha kuwa binadamu ni udongo?

Nani anaweza kuthibitisha kuwa binadamu ni udongo?

Nikisema wew hun akili hata elim yako ina mashaka nitakuw sijakosea kabisa,unajua maana ya IMANI au ujinga mwingi uliokujaa ndo unakupelekea kuamini imani ni ile iliyo either kanisani au msikitini,after all i can't argue with an imbicile,idiotic dumb ass person like you,my IQ is beyond your stupidity finite comprehensive!!.. Thus keep away of my sight you sturbon burts!!..
Povu halikusaidii zaidi ya kuzidi kuonekana mwehu
 
Ni vitu viwili tofauti ndiyo. Ambavyo havikaribiani hata kidogo.
Sina shida na mtu wa dini kabisa, tatizo langu ni anayejaribu kuniforce niamini kitu ambacho haki-make sense hata kidogo.
Nani humu kakulazimisha uamini kitu?
 
Hiyo issue ya kusema watu walitokana na udongo, hata baadhi ya machapisho ya sayansi yanakubali.

Ni kwa sababu elements zote [H, O, N, S, C, +MADINI] Yaliyopo kwenye miili ya watu inapatikana pia kwenye udongo.
Hata vyakula tunavyokula navyo ni udongo, ndio maana kuna mtu anazaliwa na 3.5Kg lakini anazikwa na 100Kg.
Photosynthesis ndio mchakato unaowasaidia watu kujiongezea kiwango cha 'udongo' kwenye miili yao kwa kula vyakula vilivyotokana na udongo.

Hilo swali la pili bado ni debate iliyopo mezani.
mercury, uranium ipo kwa binadamu?
 
Binadamu kiasili tumetokana na udongo kwani Vitabu vya dini vyote/zote vinajua kuwa asili ya mwenyewe baba yetu Adam aliumbwa kwa udongo
Huyu ni mmoja wa small minds zilizojiunga JF.Wali linataka nini na wewe unajibu nini? Mbona wengine wamekaa kimya kwani jibu kama lako hawakuliona?
 
Binadamu ni nyama maji na nailoni ambalo ni nywele,ukifa na kubadilika katika umbo la udongo ni kitu cha kawaida tu maana huoza na huchakaa mpka kufikia kuwa udongo,sasa kuwa udongo haimaanishi ww ni udongo hapana na kama binadamu tungekuwa udongo basi mvua ingetuuwa si tungemeguka ila ni kawaida tu kuoza,mbona hata mtu endapo akawa kafia mfano kwenye tank la maji pia huoza hulainika na maji mpaka kuisha au sisi ni makaratasi mpka tuishie majini,ni muozo tu ndo hutufanya kuwa udongo na kama ukitaka usiwe udongo utakapo kufa zipo dawa za kuweza kuacha mwili wako tu miaka kenda na kenda,au sio wakuu msijifanye wajuaji sana kila mtu na maono yake,mbona nyinyi mlikubali mmetokana na nyani na kwenye mitihani yenu mlijaza hivyo hivyo mpka zile stage za ukuaji wa minyani,sasa tusiingiliane kimawazo.
 
Faith does not ask why!

Kama unaamini maandiko matakatifu, hauna haja ya kufanyia utafiki wa kisayansi neno la Mungu.
Huu ni upuuzi na ndiyo chanzo cha umasikini, ujinga, unyanyasaji wa wanawake, fujo au makundi ya kigaidi. Unashika maneno ka mtoto bila kuuliza swali, huo ubongo mpe mwingine tu maana obviously hujui kuutumia, unamaliza oxygen tu.
 
Back
Top Bottom