Nani anaweza kutueleza mchango wa kamati ya ushindi ya Taifa stars? Hata uwanjani hawapo na wamelipwa fedha za walipa kodi. Deal deal

Nani anaweza kutueleza mchango wa kamati ya ushindi ya Taifa stars? Hata uwanjani hawapo na wamelipwa fedha za walipa kodi. Deal deal

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga nini? Je fedha walizolipwa zilikuwa za kazi gani? Tukubali maisha yamekuwa deal
 
Ile kamati ni chambo tu waliopiga hela ndefu wanajijua. Haka ka inji bila upigaji hakasongi nyuma 😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom