Nani anayefundishwa uongozi na Humphrey Polepole?


Kwenye hii jamii yetu ya sasa, nani anayetaka muundo wa kusoma ili wale wenye kustahili ndio wawe viongozi?
Hata kama ukiwekwa watu watavujisha mitihani.
 

Yeye ni kiongozi wa nani? Maana hata uchaguzi waliiba sasa anafundisha kwa kusoma vitabu vya kikomunisti 😂😂
 
Acha wivu wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…