Nani anayejua kuhusu hili la kutengeneza Wireless Earphone?

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
Za mchana wana tech,

Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vitu sasa katika pitapita zangu youtube nikaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale kataa ka remote(remote sensor) na earphone ya zamani.

Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa watu mnaojua msaada please
 
Dot-com kazini, tengeneza kwanza ili hatua moja iishe
 
Itakuwa vyema ukaambatanisha video husika,
dah bahat mby video cna hapa yan sim haitaki kudownload video youtube we kama unaweza search how to make wireless earphone at home
 
Mkuu ulichukua hatua gani baada ya kuona maelekezo?
 
Nataka nijaribu ndo nkaamua kuuliza kama kuna mtu labda ashawah jaribu c unajua kila k2 kinachokutokea inabd uamin kuna mwingne kishampata!
 
Za mchana wana tech... Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vi2 sasa ktk ptapta zangu youtube nkaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale kataa ka remote(remote sensor) na earphone ya zamani.... Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa watu mnaojua msaada please
Kale kataa kwenye remote control kanafanya kazi ikiwa ina face direct na sensor ya mashine husika mfano tv nk. Sasa hata kama utaweza kuiunga na 3.5 jack pamoja na earphones, je ukiiweka mfukon taarifa itafikaje kutoka sehem moja kwenda nyengine, mm naona haiwezekani, hata mimi pia niliiona hiyo video ila nikajua wapo katika kutafuta viewers tu
 
ahaa okay ngj nijaribu ntakuja kuleta mrejesho
 
Taa ya remote ni infrared. Njia hio ipo slow kupita maelezo, tunaongelea around 100kbps hivi huwezi kupitisha muziki. Probably huyo jamaa ni fake video tu anaonesha.
 
Kwa maoni yangu kale kataa hakawezi kufanya hiyo kazi mzee
 
Taa ya remote ni infrared. Njia hio ipo slow kupita maelezo, tunaongelea around 100kbps hivi huwezi kupitisha muziki. Probably huyo jamaa ni fake video tu anaonesha.
Ahaaa okay wanaweza kuwa wamenipiga na ki2 kizito cha kichwa eeh!
 
Jamaa umeenda YouTube kwa mtaalamu akakupa maelekezo, sasa unakuja kutuletea Vayolensi huku kolomije unataka nini kwa mfano...

Haya tuambie kwanza maana ya iyo wireless labda tunaweza kukusaidia
 
nimeleta huku kuuliza kama kuna mtu amby amewah tengeneza maybe.... Af kuhusu wireless n kutotumia waya
 
Kale kataa kwenye remote control kanafanya kazi ikiwa ina face direct na sensor ya mashine husika mfano tv nk. Sasa hata kama utaweza kuiunga na 3.5 jack pamoja na earphones, je ukiiweka mfukon taarifa itafikaje kutoka sehem moja kwenda nyengine, mm naona haiwezekani, hata mimi pia niliiona hiyo video ila nikajua wapo katika kutafuta viewers tu
ahaaa
 
Back
Top Bottom