Itakuwa vyema ukaambatanisha video husika,Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa watu mnaojua msaada please
Mkuu ulichukua hatua gani baada ya kuona maelekezo?dah bahat mby video cna hapa yan sim haitaki kudownload video youtube we kama unaweza search how to make wireless earphone at home
Kale kataa kwenye remote control kanafanya kazi ikiwa ina face direct na sensor ya mashine husika mfano tv nk. Sasa hata kama utaweza kuiunga na 3.5 jack pamoja na earphones, je ukiiweka mfukon taarifa itafikaje kutoka sehem moja kwenda nyengine, mm naona haiwezekani, hata mimi pia niliiona hiyo video ila nikajua wapo katika kutafuta viewers tuZa mchana wana tech... Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vi2 sasa ktk ptapta zangu youtube nkaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale kataa ka remote(remote sensor) na earphone ya zamani.... Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa watu mnaojua msaada please
ahaa okay ngj nijaribu ntakuja kuleta mrejeshoKale kataa kwenye remote control kanafanya kazi ikiwa ina face direct na sensor ya mashine husika mfano tv nk. Sasa hata kama utaweza kuiunga na 3.5 jack pamoja na earphones, je ukiiweka mfukon taarifa itafikaje kutoka sehem moja kwenda nyengine, mm naona haiwezekani, hata mimi pia niliiona hiyo video ila nikajua wapo katika kutafuta viewers tu
Ahaaa okay wanaweza kuwa wamenipiga na ki2 kizito cha kichwa eeh!Taa ya remote ni infrared. Njia hio ipo slow kupita maelezo, tunaongelea around 100kbps hivi huwezi kupitisha muziki. Probably huyo jamaa ni fake video tu anaonesha.
nimeleta huku kuuliza kama kuna mtu amby amewah tengeneza maybe.... Af kuhusu wireless n kutotumia wayaJamaa umeenda YouTube kwa mtaalamu akakupa maelekezo, sasa unakuja kutuletea Vayolensi huku kolomije unataka nini kwa mfano...
Haya tuambie kwanza maana ya iyo wireless labda tunaweza kukusaidia
ahaaaKale kataa kwenye remote control kanafanya kazi ikiwa ina face direct na sensor ya mashine husika mfano tv nk. Sasa hata kama utaweza kuiunga na 3.5 jack pamoja na earphones, je ukiiweka mfukon taarifa itafikaje kutoka sehem moja kwenda nyengine, mm naona haiwezekani, hata mimi pia niliiona hiyo video ila nikajua wapo katika kutafuta viewers tu