Nani anayejua kuhusu hili la kutengeneza Wireless Earphone?

Youtube kuna kila aina ya takataka ili mradi kupata views.
Remote inawasiliana na kifaa kupitia mwanga infrared au IR ndio maana ina kale kataa. Yani kale kataa uwa kanatoa mwanga ambao ww kwa macho huwezi kuuona na huo mwanga unanaswa na kifaa.
Earphone za wireless zinatumia blutooth.
Na sijaona simu yeyote ya kisasa yenye tech ya infrared labda za zamani enzi za nokia.
Hivyo, huwezi tengeneza tech ya wireless earphone kwa tech ya infrared. Kwanza infrared inabeba data ndogo sana kiasi kwamba ni ngumu kutransfer hata sauti.
 
Ahaa asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…