Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Ok Kama wamekaguliwa, Kama Ripoti Ya Ukaguzi Wa Ofisi Wa CAG ipo Na Ilishapelekwa Bungeni Basi Itolewa na Wananchi Wajue, Hili Sio Hitaji Langu Bali Ni Kwa Mujibu Wa Kifungu cha 46(1)(6) cha Sheria Ya Ukaguzi Wa Umma No. 11 ya Mwaka 2008

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ujue kuna independent audit firm hukagua ofisi zote za ukaguzi TANZANIA. Mara nyingi hawatumii zile BIG 4 YAAN ERNEST & YOUNG (EY), DELOITTE, KPMG na PWC.

Ukitaka kufahamu kitu usiweke lawama uliza kwa utaratibu.
 
Nilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko walikokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake. Mana wanapata mgao wa matumizi kutoka Serikalini.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
 
Nilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.

Bashite
 
Mkuu hili swali lako lina manufaa gani kwa watanzania
 
Kwa Taarifa tu

Kama lengo Ni kumpata Prof Assad kupitia Ukaguzi wa Ofisi yake Basi Ukaguzi wa Ofisi yake sio Njia sahihi

CAG sio Accounting Officer wa Ofisi yake ya Ukaguzi ya Taifa

Hahusiki Na Manunuzi,Malipo wala mambo ya Utawala kwa jumla

Yeye Kazi yake Ni kukagua tu

Wazungu walipounda Mfumo Na utendaji wa CAG walishajua Fitna itakayomkumba akifanya Kazi yake vyema

Kama lengo Ni kufahamu tu utendaji na Matumizi ya Rasilimali Za Nchi kwa jumla tutafanikiwa Lakin Kama kumnasa CAG tutafute mbinu nyingine

Kuna Vigazeti vilijaribu kutafuta kashfa Kwenye Ofisi yake Na kumhusisha Lakin humu humu JF tukawaambia CAG hahusiki Na Manunuzi ya Ofisi yake kwa namna yoyote ile walipotambua hilo wakaacha Tena kufuatilia tukajua target Was Prof Assad sio kingine

Wakaibukia kwenda Hijja Bila ya Kibali Cha Ikulu nako wakakwama kwa Kuwa alikuwa Na Kibali Na alitumia Fedha zake binafsi

Kamati ya Roho mbaya irudi Kwenye kikao Kazi kutafuta mbinu nyingine
 
You
Nilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
You can't stop stealing where there many people instead you can only control

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia S.46 (1) ya Public Audit Act - 2008 imeeleza kila kitu kua Ofisi ya CAG itakaguliwa na Registered Auditor ambaye atachaguliwa na PAC n.k
Audit of accounts
(1) The accounts of the National Audit Office shall be audited, at least once in every financial year, by a person appointed by the
Public Accounts Committee from amongst persons who are registered as auditors under the Auditors and Accountants
(Registration) Act or possessing such other qualifications as the Public Accounts Committee may determine, at such
remuneration and, on such other terms and, conditions as the Public Accounts Committee may determine.
 
Uzoefu kutoka sehemu nyengine huwa anakaguliwa na ofisi huru ya ukaguzi. Wizara inayohusika na CAG inaweza kutafuta ofisi hiyo na kuingia mkataba kwa lengo hilo. Kwa ufupi, Ofisi ya CAG inakaguliwa. Hapa JMT sijui utaratibu ukoje.
 
Mkuu hili swali lako lina manufaa gani kwa watanzania
Mkwepa Kodi kumbuka hata ofisi ya CAG inatumia pesa ya mulipa kodi ambao ni sisi wananchi. Pesa wanapewa na Serikali .Tunahitaji kujua wanatumiaje?
 
Ukiangalia S.46 (1) ya Public Audit Act - 2008 imeeleza kila kitu kua Ofisi ya CAG itakaguliwa na Registered Auditor ambaye atachaguliwa na PAC n.k
Audit of accounts
(1) The accounts of the National Audit Office shall be audited, at least once in every financial year, by a person appointed by the
Public Accounts Committee from amongst persons who are registered as auditors under the Auditors and Accountants
(Registration) Act or possessing such other qualifications as the Public Accounts Committee may determine, at such
remuneration and, on such other terms and, conditions as the Public Accounts Committee may determine.
Sasa umewahi kusikia report yoyote inayotokana na ukaguzi ofisi ya CAG? Nashauri kila mwaka huyo mkaguzi huru awe anatujuza matumizi pia ofisi ya CAG kwa kila mwaka. Kule nako kuna wanadammu sio malaika.
 
Nilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
upo utaratibu wa kuikagua ofisi ya CAG report waulize wabunge wenu, najua CAG kawashika pabaya ndio maana mnatapatapa
 
Nilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
Mnahangaika kama kuku mwenye kideli, mada ya kidwanzi kama hii wameshaanzisha mapopoma wenzio wawili Jana na walijibiwa.
Hata hivyo kama mnaona itawapa releaf mtumeni Polepole ili akijumlisha 6+7 anaandika 3 halafu moja anakwenda nayo kichwani, akiisahau huko kichwani mtamkumbusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umewahi kusikia anything unaotokana na ukaguzi ofisi ya CAG? Nashauri kila mwaka huyo mkaguzi huru awe anatujuza matumizi pia ofisi ya CAG kwa kila mwaka. Kule nako kuna wanadammu sio malaika.
Sawa kila kitu na wakati wake kwa sasa kama una uchungu fedha za umma kama unavyodai tushughulike na hawa kwanza wa matrilioni Cag ni mamilioni tu aňatumia
 
Mmeona mmeshikwa pabaya sasa mnataka mumtulize kwa kumkagua yy? Mjibu kwanza hoja zenu huyo atakaguliwa tu usiwe na wasi. Nasikia lumumba huko hakukaliki kwa sasa tatizo nini?
 
Back
Top Bottom