Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kusikia ama kutokusikia report unadhani kosa litakua la nani? Ni la CAG au bunge kupitia PAC? Kwani wewe umeshawahi kusikia CAG kakataa kukaguliwa?Sasa umewahi kusikia report yoyote inayotokana na ukaguzi ofisi ya CAG? Nashauri kila mwaka huyo mkaguzi huru awe anatujuza matumizi pia ofisi ya CAG kwa kila mwaka. Kule nako kuna wanadammu sio malaika.
Nilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko walikokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake. Mana wanapata mgao wa matumizi kutoka Serikalini.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
Kwa Taarifa tu
Kama lengo Ni kumpata Prof Assad kupitia Ukaguzi wa Ofisi yake Basi Ukaguzi wa Ofisi yake sio Njia sahihi
CAG sio Accounting Officer wa Ofisi yake ya Ukaguzi ya Taifa
Hahusiki Na Manunuzi,Malipo wala mambo ya Utawala kwa jumla
Yeye Kazi yake Ni kukagua tu
Wazungu walipounda Mfumo Na utendaji wa CAG walishajua Fitna itakayomkumba akifanya Kazi yake vyema
Kama lengo Ni kufahamu tu utendaji na Matumizi ya Rasilimali Za Nchi kwa jumla tutafanikiwa Lakin Kama kumnasa CAG tutafute mbinu nyingine
Kuna Vigazeti vilijaribu kutafuta kashfa Kwenye Ofisi yake Na kumhusisha Lakin humu humu JF tukawaambia CAG hahusiki Na Manunuzi ya Ofisi yake kwa namna yoyote ile walipotambua hilo wakaacha Tena kufuatilia tukajua target Was Prof Assad sio kingine
Wakaibukia kwenda Hijja Bila ya Kibali Cha Ikulu nako wakakwama kwa Kuwa alikuwa Na Kibali Na alitumia Fedha zake binafsi
Kamati ya Roho mbaya irudi Kwenye kikao Kazi kutafuta mbinu nyingine
Halafu hao watakaokuwa wanakagua ofisi ya CAG watakaguliwa na nani, kutakuwa na msururu mrefu wa ukaguzi usio na tijaMkwepa Kodi kumbuka hata ofisi ya CAG inatumia pesa ya mulipa kodi ambao ni sisi wananchi. Pesa wanapewa na Serikali .Tunahitaji kujua wanatumiaje?
Yaani umeiweka vizuri saaana tu. Team roho Mbaya wakatafute mbinu nyingine!!!Kwa Taarifa tu
Kama lengo Ni kumpata Prof Assad kupitia Ukaguzi wa Ofisi yake Basi Ukaguzi wa Ofisi yake sio Njia sahihi
CAG sio Accounting Officer wa Ofisi yake ya Ukaguzi ya Taifa
Hahusiki Na Manunuzi,Malipo wala mambo ya Utawala kwa jumla
Yeye Kazi yake Ni kukagua tu
Wazungu walipounda Mfumo Na utendaji wa CAG walishajua Fitna itakayomkumba akifanya Kazi yake vyema
Kama lengo Ni kufahamu tu utendaji na Matumizi ya Rasilimali Za Nchi kwa jumla tutafanikiwa Lakin Kama kumnasa CAG tutafute mbinu nyingine
Kuna Vigazeti vilijaribu kutafuta kashfa Kwenye Ofisi yake Na kumhusisha Lakin humu humu JF tukawaambia CAG hahusiki Na Manunuzi ya Ofisi yake kwa namna yoyote ile walipotambua hilo wakaacha Tena kufuatilia tukajua target Was Prof Assad sio kingine
Wakaibukia kwenda Hijja Bila ya Kibali Cha Ikulu nako wakakwama kwa Kuwa alikuwa Na Kibali Na alitumia Fedha zake binafsi
Kamati ya Roho mbaya irudi Kwenye kikao Kazi kutafuta mbinu nyingine
Wewe ndio yule wa Twitter?nakuelewa,AU NDO MANA J.K ALISEMA RIPOTI YA CAG IENF BUNGENI?
Hata ukimjua anayrmkagua basi utataka kujua naye mkaguzi wa CAG anakaguliwa na nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakaguliwa na kampuni binafsi ya ukaguzi (Independent Audit Firm) mara nyingi huwa ya kimataifa eg PWCNa huyo atakayemkagua CAG naye atakaguliwa na nani?? --- mlolongo wa kukaguana utaendelea hadi wapi??
Anakaguliwa na kampuni binafsi ya ukaguzi (Independent Audit Firm) mara nyingi huwa ya kimataifa eg PWC
Halafu hizi kampuni binafsi huwa zinakaguana