Hata ukimjua anayemkagua basi utataka kujua naye mkaguzi wa CAG anakaguliwa na nani.Hii ofisi inaibua madudu ya sekta mbalimbali na ofisi nyingi, yenyewe inakaguliwa na nani na ripoti yake inaonyesha vipi katika matumizi ya fedha za umma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ofisi inaibua madudu ya sekta mbalimbali na ofisi nyingi, yenyewe inakaguliwa na nani na ripoti yake inaonyesha vipi katika matumizi ya fedha za umma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ujue kuna independent audit firm hukagua ofisi zote za ukaguzi TANZANIA. Mara nyingi hawatumii zile BIG 4 YAAN ERNEST & YOUNG (EY), DELOITTE, KPMG na PWC.Ok Kama wamekaguliwa, Kama Ripoti Ya Ukaguzi Wa Ofisi Wa CAG ipo Na Ilishapelekwa Bungeni Basi Itolewa na Wananchi Wajue, Hili Sio Hitaji Langu Bali Ni Kwa Mujibu Wa Kifungu cha 46(1)(6) cha Sheria Ya Ukaguzi Wa Umma No. 11 ya Mwaka 2008
Sent using Jamii Forums mobile app
BashiteNilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
Nilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
You can't stop stealing where there many people instead you can only controlNilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
Mkwepa Kodi kumbuka hata ofisi ya CAG inatumia pesa ya mulipa kodi ambao ni sisi wananchi. Pesa wanapewa na Serikali .Tunahitaji kujua wanatumiaje?Mkuu hili swali lako lina manufaa gani kwa watanzania
Sasa umewahi kusikia report yoyote inayotokana na ukaguzi ofisi ya CAG? Nashauri kila mwaka huyo mkaguzi huru awe anatujuza matumizi pia ofisi ya CAG kwa kila mwaka. Kule nako kuna wanadammu sio malaika.Ukiangalia S.46 (1) ya Public Audit Act - 2008 imeeleza kila kitu kua Ofisi ya CAG itakaguliwa na Registered Auditor ambaye atachaguliwa na PAC n.k
Audit of accounts
(1) The accounts of the National Audit Office shall be audited, at least once in every financial year, by a person appointed by the
Public Accounts Committee from amongst persons who are registered as auditors under the Auditors and Accountants
(Registration) Act or possessing such other qualifications as the Public Accounts Committee may determine, at such
remuneration and, on such other terms and, conditions as the Public Accounts Committee may determine.
upo utaratibu wa kuikagua ofisi ya CAG report waulize wabunge wenu, najua CAG kawashika pabaya ndio maana mnatapatapaNilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
Mnahangaika kama kuku mwenye kideli, mada ya kidwanzi kama hii wameshaanzisha mapopoma wenzio wawili Jana na walijibiwa.Nilikua najiuliza hivi ofisi ya CAG na watu wake wote ni kama malaika hakuna anaeiga tabia ya watumishi wengine hapa Tanzania? tumeona mapungufu walioyaona kote huko waliokagua, nkatamani tuwe na utaratibu wakupata pia report ya ukaguzi ofisi ya CAG na watumishi wake.
Utakuwa ni utaratibu mzuri wakutuonyesha masurufu wao wanayatumiaje?
Sawa kila kitu na wakati wake kwa sasa kama una uchungu fedha za umma kama unavyodai tushughulike na hawa kwanza wa matrilioni Cag ni mamilioni tu aňatumiaSasa umewahi kusikia anything unaotokana na ukaguzi ofisi ya CAG? Nashauri kila mwaka huyo mkaguzi huru awe anatujuza matumizi pia ofisi ya CAG kwa kila mwaka. Kule nako kuna wanadammu sio malaika.