Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Mmeanza kutafuta mchawi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

CAG hayumbishwi na wapiga makelele majukwaani
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Sasa umewahi kusikia report yoyote inayotokana na ukaguzi ofisi ya CAG? Nashauri kila mwaka huyo mkaguzi huru awe anatujuza matumizi pia ofisi ya CAG kwa kila mwaka. Kule nako kuna wanadammu sio malaika.
Sasa kusikia ama kutokusikia report unadhani kosa litakua la nani? Ni la CAG au bunge kupitia PAC? Kwani wewe umeshawahi kusikia CAG kakataa kukaguliwa?
 

Ongea na Maza kama.vipi poa
 
Watashindana lakini hawatashinda" in mzee wa upako voice
MIMI
 
Safari hii lile swali la, "Nani anayemkagua CAG?" mbona haliulizwi?

Ila mi nimekuwa nikijiuliza hilo swali kila mwaka. Maana nafahamu utaratibu wa taasisi yoyote lazima ikaguliwe.

Naamini CAG naye ana Mkaguzi wa kutoka nje (External Auditor).

Ila ni kwa nini taarifa za ukaguzi wake haziwekwi wazi, ukichukulia yeye anawaanika wengine?
 
Mkwepa Kodi kumbuka hata ofisi ya CAG inatumia pesa ya mulipa kodi ambao ni sisi wananchi. Pesa wanapewa na Serikali .Tunahitaji kujua wanatumiaje?
Halafu hao watakaokuwa wanakagua ofisi ya CAG watakaguliwa na nani, kutakuwa na msururu mrefu wa ukaguzi usio na tija
 
Yaani umeiweka vizuri saaana tu. Team roho Mbaya wakatafute mbinu nyingine!!!
 
Naye pia anawajibika katika matumizi ya fedha za umma
 
Serikali huajiri kampuni za kimataifa kukagua ofs ya CAG
 
Na huyo atakayemkagua CAG naye atakaguliwa na nani?? --- mlolongo wa kukaguana utaendelea hadi wapi??
Anakaguliwa na kampuni binafsi ya ukaguzi (Independent Audit Firm) mara nyingi huwa ya kimataifa eg PWC

Halafu hizi kampuni binafsi huwa zinakaguana
 
Anakaguliwa na kampuni binafsi ya ukaguzi (Independent Audit Firm) mara nyingi huwa ya kimataifa eg PWC

Halafu hizi kampuni binafsi huwa zinakaguana


Okay βœ”βœ”
 
Wakuu hili bandiko la Swali.

Ofisi ya Mthibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali hukaguliwa na nani? Naomba kufahamishwa.
 
bunge huteau auditor,ambaye hukagua na kisha kuwasilisha ripoti kwa spika.
 
Huwa kuna external auditing hufanyika kwenye taasisi ya CAG na majibu hupelekwa kwa spika na ofisi ya Rais.
 
Hata hivyo sidhani kama ofisi ya CAG ina mambo mengi? Hii ni kwa sababu haisimamii mradi wowote ule. Hawa wanaokaguliwa wanatengewa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya serikali. Kwa hiyo CAG hukagua fedha hizo kama zimetumika ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…