qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Anakaguliwa na kampuni binafsi ya ukaguzi. That's means ofisi ya CAG inakuwa audited.
Pia CAG akishamaliza muda wake hashiki nafasi nyingine yoyote na atalipwa mpk afe.
Pia ujue uteuzi wake hautenguliwi. Hadi afe,astaafu au aache mwenyewe.
WAKUU hivi CAG naye hukaguliwa?
Na Kama Ana kaguliwa Nani Ana mkagua?
Inaonekana wewe ni jipu na hawa wazee wa kazi ama walishakutumbua au upo njiani kutubuliwa!!Yani mkuu umegusa hiyo taasis nimepata kichefuchefu. Auditors wanakula rushwa saaana. JPM pia aangalie ukwasi wa watumishi wa hii taasis. Wanafanya kazi kwa kukomoana. Na report hasa za halmashauri Mara nyingi wanazifanya kuonekana nzuri baada ya kuhongwa pesa. Ila halmashauri nyingi hawana hati safi.
CAG vijana Wako wapunguze rushwaaaa. Pia wapunguze kujiona wao ndo watumishi pekee na wasioguswa serikalin.
.
Ripoti ya Mkaguzi mkuu huwa inaambatana na attachment kutoka ofisi husika iliyokaguliwa kusapoti maelezo? Je ofisi ikituhumiwa kwa matumizi mabaya ya pesa, inaweza kumkanusha Mkaguzi na kusema amedaganya?Je tuna uhakika gani kwamba anachotuambia kiko sahihi?
hapo sasa, list itabidi isiisheAkishapatikana si utauliza naye pia atakaguliwa nanani?
Yeye anamkagua kila mtu na kutoa ripoti yake, sasa swali langu ni Je, na yeye nani anamkagua? Hapa namaanisha Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali!
Je tuna uhakika gani kwamba anachotuambia kiko sahihi?