Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Anakaguliwa na kampuni binafsi ya ukaguzi. That's means ofisi ya CAG inakuwa audited.

Pia CAG akishamaliza muda wake hashiki nafasi nyingine yoyote na atalipwa mpk afe.
 
Yes ofisi ya CAG inakaguliwa Na wakaguzi wanaochaguliwa Na vikao vya PAC( Public Authority Committee)
 
Pia ujue uteuzi wake hautenguliwi. Hadi afe,astaafu au aache mwenyewe.

Nami naongezea huteuzi wake unaweza kutenguliwa endapo hakipatwa na matatizo ya akili na ripoti kupotosha(misleading report)
 
[QUOTPAJimaz, post: 16058057, member: 198671"]Yes ofisi ya CAG inakaguliwa Na wakaguzi wanaochaguliwa Na vikao vya PAC( Public Authority Committee)[/QUOTE]
Hivi PAC(Public accounts committee ) au Authority
 
Yani mkuu umegusa hiyo taasis nimepata kichefuchefu. Auditors wanakula rushwa saaana. JPM pia aangalie ukwasi wa watumishi wa hii taasis. Wanafanya kazi kwa kukomoana. Na report hasa za halmashauri Mara nyingi wanazifanya kuonekana nzuri baada ya kuhongwa pesa. Ila halmashauri nyingi hawana hati safi.
CAG vijana Wako wapunguze rushwaaaa. Pia wapunguze kujiona wao ndo watumishi pekee na wasioguswa serikalin.

.
 
Inaonekana wewe ni jipu na hawa wazee wa kazi ama walishakutumbua au upo njiani kutubuliwa!!
 
wakuligo.. Jitathmini.
kwanza kutubua ndio nini?
nilichoandika hakina hata chembe ya uongo.
Ni bahati mbaya sana sheria ya rushwa tz niyakuvizia vizia tu. Ila ukweli ubaki pale pale wakaguzi wengi Ni majipu. Bado tunasafari ndefu kwa Aina ya ukaguzi tulionao tz.
 
Stable, kama ulichoandika kina uhakika kiasi hicho, TAKUKURU wapo kila wilaya. Unashindwa nini kufikisha hoja yako panapohisika na hatua stahiki zikachukuliwa? Ninaona kila dalili za chuki binafisi na hao wakaguzi, watakutumbua tuu! As such wamerisk kiasi kikubwa na kuonesha uozo wa serikali, wew badala ya kuwatia moyo unawatuhum kwa Rushwa. Kwa uhakika huo, basi wew ndio mtoa rushwa.
Acha mihemuko yako stable.
 
Je tuna uhakika gani kwamba anachotuambia kiko sahihi?
Ripoti ya Mkaguzi mkuu huwa inaambatana na attachment kutoka ofisi husika iliyokaguliwa kusapoti maelezo? Je ofisi ikituhumiwa kwa matumizi mabaya ya pesa, inaweza kumkanusha Mkaguzi na kusema amedaganya?
 
Ofisi ya NAOT (CAG) inakaguliwa na makampuni makubwa ya kimataifa ya ukaguzi.Serikali hutangaza hiyo nafasi na itayeshinda basi atafanya hiyo kazi. Ndio maana wadau wakiona ofisi ya CAG inabologa kuna taratibu zake zinazofata kumtoa ktk nafasi yake.
 
Kuna external auditors wanawakagua kila mwaka,mara nyingi ni makampunu ya Afrika Kusini na Uingereza
 
Yeye anamkagua kila mtu na kutoa ripoti yake, sasa swali langu ni Je, na yeye nani anamkagua? Hapa namaanisha Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali!

Je tuna uhakika gani kwamba anachotuambia kiko sahihi?

Yaan we haunaga mada zenye maslai ya Taifa,,,ikitokea umelishupalia jambo basi hujue ilo jambo limeigusa Ccm ,,NAONA umekerekwa na C.A.G KUWA mkweli ktk report zake,,,,,
 
Back
Top Bottom