Thread ya kipumbav tangu 2019 ianzeHili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?
Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
Ok, tunaye Prof Jay pale Ufipa nitamtaarifu!Salam zimefika
Nisaidie kunitaftia Prof yoyote wa Accouting Na Finance anaetokea 'nyumbani' Taifa linamuhitaji Sana kwa hati ya dharura kabla ya Tarehe 21 January this year
Swali lako halieleweki!Kwani walitaka aite office nzima au wote wanaohusika na office ile?
Hahahah kwani profesa jei ni profesa wa Acounting na anatokea 'nyumbani' kama Mzee Pohamba alivyosisitiza?,yule ni plofesa wa bongofleva,na thesis yake ya phd ilikuwa ile nyimbo ya Ndio mzee.Ok, tunaye Prof Jay pale Ufipa nitamtaarifu!
Mzee wangu huwa unaniachaga hoi na michango yako humu,natamani kujua walau kijiwe chako unakokwenda kupata gahwa nikitembelee.Salam zimefika
Nisaidie kunitaftia Prof yoyote wa Accouting Na Finance anaetokea 'nyumbani' Taifa linamuhitaji Sana kwa hati ya dharura kabla ya Tarehe 21 January this year
Umejibiwa lakini bado unaleta undandala. Au una majibu mfukoni? Au unataka kutuaminisha kuwa1.5 ni makosa yamefanyika na cag?My question is who audits the CAG? Or the assumtion is the CAG never makes mistakes?
CAG himself. Yeye ndio top na ndie alikabidhiwa dhamana . No outside auditing.Now who is responsible to audit the said institution
Kwenye Ukaguzi huwa wanakagua ( NAO) National Audit Office sio CAG kwa Kuwa CAG Ni top wa NAO
Ukaguzi huo hufanywa Na Independent Audit firm
N.B CAG Kwenye ofisi yake imehakikishwa hana majukumu yoyote ya kiutawala Kama vile kudhinisha malipo, kushiriki Michakato ya zabuni Na Mengineyo ya namna hiyo ili kuhakikisha Mara zote hahusiswi Na makando kando Mengine kwa Kuwa Maadui wa kazi zake wanaweza kutumia huo mwanya kumchomekea kashfa
2016 Baada ya Ukaguzi wa MV Dsm report yake kutoka Gazeti la Mtanzania lilianzisha uzushi dhidi ya Prof Assad Kuwa kanunua gari la ofisi yake bila ya kufuata Taratibu Za Manunuzi Na kashfa hiyo ika trend Sana Kwenye Mitandao baadae wakajulishwa Kuwa mipaka ya CAG Kwenye routine duties yoyote ya namna hiyo kwa namna yoyote ile CAG binafsi huwa hahusiki kabisa Hata kwa ushauri Basi ile kashfa ikafa ghafla kwa Kuwa ilitengenezwa kumchafua Assad Na hawakutaka kuendelea nayo kwa Kuwa Huenda ingewakumba wale ambao hawakukusudiwa
Binadamu anaweza kukosea tu Kama wengne,.....Hili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?
Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
Hahahahaa umenichekesha sana hapo Kwa kabudi ana ndimi mbili kama joka la mdimuKwenye Ukaguzi huwa wanakagua ( NAO) National Audit Office sio CAG kwa Kuwa CAG Ni top wa NAO
Ukaguzi huo hufanywa Na Independent Audit firm
N.B CAG Kwenye ofisi yake imehakikishwa hana majukumu yoyote ya kiutawala Kama vile kudhinisha malipo, kushiriki Michakato ya zabuni Na Mengineyo ya namna hiyo ili kuhakikisha Mara zote hahusiswi Na makando kando Mengine kwa Kuwa Maadui wa kazi zake wanaweza kutumia huo mwanya kumchomekea kashfa
2016 Baada ya Ukaguzi wa MV Dsm report yake kutoka Gazeti la Mtanzania lilianzisha uzushi dhidi ya Prof Assad Kuwa kanunua gari la ofisi yake bila ya kufuata Taratibu Za Manunuzi Na kashfa hiyo ika trend Sana Kwenye Mitandao baadae wakajulishwa Kuwa mipaka ya CAG Kwenye routine duties yoyote ya namna hiyo kwa namna yoyote ile CAG binafsi huwa hahusiki kabisa Hata kwa ushauri Basi ile kashfa ikafa ghafla kwa Kuwa ilitengenezwa kumchafua Assad Na hawakutaka kuendelea nayo kwa Kuwa Huenda ingewakumba wale ambao hawakukusudiwa
Likaja Suala la kwenda Hijja kwa Fedha Za Ofisi kwa Kuwa tu waliona anaomba Kibali Cha kusafiri toka Jumba jeupe bila ya kujua kwa utaratibu wa utumishi Hata ukiwa Likizo Na unaenda nje kwa mambo yako binafsi Na kwa gharama zako Basi kuomba Kibali Cha Ruhusa ni lazima
Nchi yetu Bado changa Sana kumudu Kuwa Na CAG wa Viwango vya Mussa Assad, Kama vipi tupewe Kazi ya kupita pita Udsm , Mzumbe Na Udom tunaweza kupata Prof wa Accounting anae fanana na kasi yetu Na wapo wengi Sana
Mfano;
Wakati wa awamu ya Nne ukitaka Mtaalam wa kukueleza Ubovu wa Katiba iliyopo alikuwa Prof Palamagamba Kabudi
Wakati wa awamu ya Tano ukitaka Mtaalam wa kukueleza ubora wa Katiba iliyopo Basi ni Yule Yule Prof Palamagamba Kabudi
Yani hata mimi mkulima wa korosho najua ABCs za Accounting ndo maana nimeshituka kwa Economist kutokujua na ukizingatia hizo fani zilivyo na ukaribu
Eti anajua debitting and crediting tuu halaf ni exonomisr[emoji23][emoji23] sijasoma course miaka mitatu accounts ila kwa ile semister 1 tuu pale IFM imetosha tena sikufundishwa eti CAG anafanya nn na nn nilijiongeza mwenyewe tuYani hata mimi mkulima wa korosho najua ABCs za Accounting ndo maana nimeshituka kwa Economist kutokujua na ukizingatia hizo fani zilivyo na ukaribu
Ina maana siku hiyo ndio Profesa atawasilisha barua ya kujiuzulu?.Salam zimefika
Nisaidie kunitaftia Prof yoyote wa Accouting Na Finance anaetokea 'nyumbani' Taifa linamuhitaji Sana kwa hati ya dharura kabla ya Tarehe 21 January this year
Who audits the auditor or what dog watches the watchdog?Hili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?
Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
Kauli nzito sana hiiNchi yetu Bado changa Sana kumudu Kuwa Na CAG wa Viwango vya Mussa Assad, Kama vipi tupewe Kazi ya kupita pita Udsm , Mzumbe Na Udom tunaweza kupata Prof wa Accounting anae fanana na kasi yetu Na wapo wengi Sana