Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Hili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?

Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
Thread ya kipumbav tangu 2019 ianze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam zimefika

Nisaidie kunitaftia Prof yoyote wa Accouting Na Finance anaetokea 'nyumbani' Taifa linamuhitaji Sana kwa hati ya dharura kabla ya Tarehe 21 January this year
Ok, tunaye Prof Jay pale Ufipa nitamtaarifu!
 
Salam zimefika

Nisaidie kunitaftia Prof yoyote wa Accouting Na Finance anaetokea 'nyumbani' Taifa linamuhitaji Sana kwa hati ya dharura kabla ya Tarehe 21 January this year
Mzee wangu huwa unaniachaga hoi na michango yako humu,natamani kujua walau kijiwe chako unakokwenda kupata gahwa nikitembelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Ukaguzi huwa wanakagua ( NAO) National Audit Office sio CAG kwa Kuwa CAG Ni top wa NAO

Ukaguzi huo hufanywa Na Independent Audit firm

N.B CAG Kwenye ofisi yake imehakikishwa hana majukumu yoyote ya kiutawala Kama vile kudhinisha malipo, kushiriki Michakato ya zabuni Na Mengineyo ya namna hiyo ili kuhakikisha Mara zote hahusiswi Na makando kando Mengine kwa Kuwa Maadui wa kazi zake wanaweza kutumia huo mwanya kumchomekea kashfa

2016 Baada ya Ukaguzi wa MV Dsm report yake kutoka Gazeti la Mtanzania lilianzisha uzushi dhidi ya Prof Assad Kuwa kanunua gari la ofisi yake bila ya kufuata Taratibu Za Manunuzi Na kashfa hiyo ika trend Sana Kwenye Mitandao baadae wakajulishwa Kuwa mipaka ya CAG Kwenye routine duties yoyote ya namna hiyo kwa namna yoyote ile CAG binafsi huwa hahusiki kabisa Hata kwa ushauri Basi ile kashfa ikafa ghafla kwa Kuwa ilitengenezwa kumchafua Assad Na hawakutaka kuendelea nayo kwa Kuwa Huenda ingewakumba wale ambao hawakukusudiwa

Sasa nishaelewa kumbe mtifuano haujaanza leo,kumbe ni tokea 2016.
Dunia hii kuna watu wanavisasi hatari,si wakukwaruzana nao kabisa,unaweza kugombana naye leo akaja kudeal na wewe miaka mitano mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?

Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
Binadamu anaweza kukosea tu Kama wengne,.....
Jabo kwa hapa tz Mkuu/mwenyekiti wetu pekeyake ndo huwa hakosei, ndie pekee anayejua watz na tz wote tunataka nn na tunaelekea wapi, maamuzi yote ambayo huwa anafanya Ni ya kutukuka, ikiwa Ni pamoja na kuamua kujenga airport chato, kutangaza na kutafuta wazabuni wa kununu ndege zetu za ATCL, na soon katuhakikishia tutakuja donor country kwa ulaya....

Ni wasio wazalendo pekeee na wanao tumika na mabeberu ndio ambao wanapayuka kuhoji baadhi ya maamuzi yake Kama yako sawa au wamefikiwa kwa kufikiria/tafakuri timamu, pia Kama yameshirikisha wadau/washauri na wataalamu ili kuboreshwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Ukaguzi huwa wanakagua ( NAO) National Audit Office sio CAG kwa Kuwa CAG Ni top wa NAO

Ukaguzi huo hufanywa Na Independent Audit firm

N.B CAG Kwenye ofisi yake imehakikishwa hana majukumu yoyote ya kiutawala Kama vile kudhinisha malipo, kushiriki Michakato ya zabuni Na Mengineyo ya namna hiyo ili kuhakikisha Mara zote hahusiswi Na makando kando Mengine kwa Kuwa Maadui wa kazi zake wanaweza kutumia huo mwanya kumchomekea kashfa

2016 Baada ya Ukaguzi wa MV Dsm report yake kutoka Gazeti la Mtanzania lilianzisha uzushi dhidi ya Prof Assad Kuwa kanunua gari la ofisi yake bila ya kufuata Taratibu Za Manunuzi Na kashfa hiyo ika trend Sana Kwenye Mitandao baadae wakajulishwa Kuwa mipaka ya CAG Kwenye routine duties yoyote ya namna hiyo kwa namna yoyote ile CAG binafsi huwa hahusiki kabisa Hata kwa ushauri Basi ile kashfa ikafa ghafla kwa Kuwa ilitengenezwa kumchafua Assad Na hawakutaka kuendelea nayo kwa Kuwa Huenda ingewakumba wale ambao hawakukusudiwa

Likaja Suala la kwenda Hijja kwa Fedha Za Ofisi kwa Kuwa tu waliona anaomba Kibali Cha kusafiri toka Jumba jeupe bila ya kujua kwa utaratibu wa utumishi Hata ukiwa Likizo Na unaenda nje kwa mambo yako binafsi Na kwa gharama zako Basi kuomba Kibali Cha Ruhusa ni lazima

Nchi yetu Bado changa Sana kumudu Kuwa Na CAG wa Viwango vya Mussa Assad, Kama vipi tupewe Kazi ya kupita pita Udsm , Mzumbe Na Udom tunaweza kupata Prof wa Accounting anae fanana na kasi yetu Na wapo wengi Sana

Mfano;

Wakati wa awamu ya Nne ukitaka Mtaalam wa kukueleza Ubovu wa Katiba iliyopo alikuwa Prof Palamagamba Kabudi

Wakati wa awamu ya Tano ukitaka Mtaalam wa kukueleza ubora wa Katiba iliyopo Basi ni Yule Yule Prof Palamagamba Kabudi
Hahahahaa umenichekesha sana hapo Kwa kabudi ana ndimi mbili kama joka la mdimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hata mimi mkulima wa korosho najua ABCs za Accounting ndo maana nimeshituka kwa Economist kutokujua na ukizingatia hizo fani zilivyo na ukaribu
Eti anajua debitting and crediting tuu halaf ni exonomisr[emoji23][emoji23] sijasoma course miaka mitatu accounts ila kwa ile semister 1 tuu pale IFM imetosha tena sikufundishwa eti CAG anafanya nn na nn nilijiongeza mwenyewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam zimefika

Nisaidie kunitaftia Prof yoyote wa Accouting Na Finance anaetokea 'nyumbani' Taifa linamuhitaji Sana kwa hati ya dharura kabla ya Tarehe 21 January this year
Ina maana siku hiyo ndio Profesa atawasilisha barua ya kujiuzulu?.
 
Hili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?

Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
Who audits the auditor or what dog watches the watchdog?
 
Back
Top Bottom