Nani anayepaswa kusema kuwa anapenda?

Nani anayepaswa kusema kuwa anapenda?

dijly4

Member
Joined
Sep 11, 2011
Posts
26
Reaction score
9
Jamani wanajf, hivi kweli wanawake wa kiafrika wanapenda au ndo wanashawishiwa kupenda baada ya kutongozwa?
 
Jamani wanajf, hivi kweli wanawake wa kiafrika wanapenda au ndo wanashawishiwa kupenda baada ya kutongozwa?

...Na wao wanapenda na huonyesha hivyo kwa maneno na vitendo pia.
 
Jamani. . . wapi madaktari mtupe jibu la kitaalam!!
 
wasanii hao sijapta kuona...wee tongoza ndio wanakuoenda.
kwanza sio wanapenda wanjifunza kukupenda sasa wewe ulishaonaga wapi mapenzhi ya kujifunza
 
...Na wao wanapenda na huonyesha hivyo kwa maneno na vitendo pia.

Shemeji na ile sentensi wanayosemaga kuwa wanaume wanapenda ila wanawake wanajifunza kupenda wakishapenda??ina ukweli wowote?
 
wanapenda sawa na wanaume wanavyopenda.na tena siku hizi wanasema hakuna kuficha hisia tena.
 
Wanawake wa kiafrica wana mapenzi ya kwel kuliko nadhan hapa dunian. wakipenda wamependa. wamekujakuchakachuliwa na mijanaume mikatili na kuifanya mioyo yao kuwa migumu abit. bt wen a woman loves she love 4 ril.
 
Back
Top Bottom