Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wanajf, hivi kweli wanawake wa kiafrika wanapenda au ndo wanashawishiwa kupenda baada ya kutongozwa?
Hapa sipo mahali pake umekoseakuweka hapa hii Thread yakoJamani wanajf, hivi kweli wanawake wa kiafrika wanapenda au ndo wanashawishiwa kupenda baada ya kutongozwa?
Ingelikuwa ni Mimi ni Moderator Hii Thread ingefaa Ningeliweka kwenye jukwaala JF Chit-ChatJamani. . . wapi madaktari mtupe jibu la kitaalam!!
Hapa sipo mahali pake umekoseakuweka hapa hii Thread yako
Ingelikuwa ni Mimi ni Moderator Hii Thread ingefaa Ningeliweka kwenye jukwaala JF Chit-Chat
Au jukwaa la
Mahusiano, mapenzi, urafiki
hapa sipo mahali pake
...Na wao wanapenda na huonyesha hivyo kwa maneno na vitendo pia.