Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani?

Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?

Nawasalimu kwa jina la JMT!

=========
KWA UFUPI

Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce Nyanda

1. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Biashara yetu ya Star Tv, RFA iliharibika -Diallo

2. Sie hatukulipwa na CCM, waliolipwa ni Crew iliyokuwa inatembea na vifaa kama majukwaa, walipewa hela ya kula na kubeba vifaa, ukitazama vitabu vyetu kuna hela chama hadi leo haijalipa-Diallo Mwenyekiti wa CCM

3. Mgombea wetu wa wakati ule alisema atatusaidia na alisema hadharani tena mara mbili pale Kirumba na furahisha lakini tuliambulia misukosuko

4. Awamu ya 5 iliharibu sana protocal ya Chama, viongozi wa chama walikuwa wanawekwa mstari wa nyuma kabisa gari zinakuwa mwisho hata kama ukifika unakuta mtu amekata utepe-Anthony Diallo mwenyekiti wa CCM

5. Kuna kisa kimoja kiongozi wa CCM mkoa wakati flani tumeenda kumpokea Rais alipigwa kiwiko akadondondoka, awamu ya Tano ilikuwa inazuia viongozi wa CCM hata kuingia uwanja wa ndege wanaelezwa kubaki nje -Antony Diallo Mwenyekiti wa CCM

6. Kuna siku nimemwambia waziri mkuu, hivi unajisikia raha gani kuzungukwa na mabunduki maana umezungukwa na mabunduki kama ishirini sie, tumekuchagua ila unatuogopa ki vipi? -Antony Diallo

7. Swala hapa siyo katiba, swala ni kuchagua watu makini. Unawezaje kuchagua kiongozi katika nafasi kubwa ya uongozi huku ana rekodi ya mirembe? Tuwe makini kuchagua viongozi-Anthony Diallo

8. Kama nchi tumepitia katika kiza kifupi, tumepitishwa katika Black spot hapo Nyuma, Sasa angalau watu wana raha, furaha imerejea-Dkt Anthony Diallo

9. Hata mimi Nimeshughulikiwa kidogo, wakaniacha ila nimepata msukosuko-Anthony Diallo

10. katiba siyi ya Vyama ni ya wananchi kosa tulilofanya ni kugeuza katiba kuwa vyama na kuacha wananchi hata katika lile
bunge walitawala wananchi-Dk Anthony Diallo

11. Katiba siyo Tatizo , tatizo lipo kwa watu mnachagua Rais ambae hataki kufata katiba mtanfanya nini? Kwani katiba ya sasa ilikuwa inaruhusu mtu kuwekwa ndani bila utaratibu? Lakini yamefanyika-Anthony Mwandu Diallo

12. Rais Samia nimefanya nae kazi ni Rais makini na jasiri ni muumini wa utawala wa bora-Anthony Diallo

13. CCM tulijua haitashinda mwaka 2015 na wananchi wamegeuka wiki mbili tu baada ya kuamua hata kuunda makundi ya vijana kwenye maeneo mbali mbali waweke Star Tv ilibidi itumike nguvu

15. Kuna mambo hatukuweza kuyasema kwa sababu mfumo uliharibika kabisa. Tuliamua kunyamaza tuliamua ku play safe mode ili kesho uendelee kuishi na watoto wako.

View attachment 1849193
Laana ya uchafuzi wa 28/10/2020. "There is more to come and see".
 
Sijaona kibaya ambacho Dialo kaongea
Watz na waafrika walio wengi mambo haya ndio chanzo cha kutoendelea kwao kwani kuutanguliza umimi, na unafiki kwa maslahi ya kundi la wachache no sababu ya kushindwa kuona umbali wa zaidi ya mita tano mbele yao, anaejitahidi kuona zaidi ya hapo no adui yao na sii mzalendo.
 
Hao ndio aina ya wagonjwa tunaowahitaji. The self-proclaimed healthy ones who have nothing to show for it are practically dead. They’re just a burden to an already impoverished nation!

Watanzania masikini wangapi wamepoteza maisha kutokana na selfish behavior ya mafisadi? Kibao kikigeuka baadhi yao mafisadi wakafa kwa blood pressure inauma zaidi eh?
Kidogo unaonyesha 'sense of reasoning' katika mstari wako wa mwisho; lakini wewe, kama alivyokuwa huyo unayemshabikia huonyeshi 'consistence' katika fikra zako.
Hili ndilo tatizo, pengine ndiyo sehemu ya ugonjwa wenyewe.
 
Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani?

Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?

Nawasalimu kwa jina la JMT!

=========
KWA UFUPI

Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce Nyanda

1. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Biashara yetu ya Star Tv, RFA iliharibika -Diallo

2. Sie hatukulipwa na CCM, waliolipwa ni Crew iliyokuwa inatembea na vifaa kama majukwaa, walipewa hela ya kula na kubeba vifaa, ukitazama vitabu vyetu kuna hela chama hadi leo haijalipa-Diallo Mwenyekiti wa CCM

3. Mgombea wetu wa wakati ule alisema atatusaidia na alisema hadharani tena mara mbili pale Kirumba na furahisha lakini tuliambulia misukosuko

4. Awamu ya 5 iliharibu sana protocal ya Chama, viongozi wa chama walikuwa wanawekwa mstari wa nyuma kabisa gari zinakuwa mwisho hata kama ukifika unakuta mtu amekata utepe-Anthony Diallo mwenyekiti wa CCM

5. Kuna kisa kimoja kiongozi wa CCM mkoa wakati flani tumeenda kumpokea Rais alipigwa kiwiko akadondondoka, awamu ya Tano ilikuwa inazuia viongozi wa CCM hata kuingia uwanja wa ndege wanaelezwa kubaki nje -Antony Diallo Mwenyekiti wa CCM

6. Kuna siku nimemwambia waziri mkuu, hivi unajisikia raha gani kuzungukwa na mabunduki maana umezungukwa na mabunduki kama ishirini sie, tumekuchagua ila unatuogopa ki vipi? -Antony Diallo

7. Swala hapa siyo katiba, swala ni kuchagua watu makini. Unawezaje kuchagua kiongozi katika nafasi kubwa ya uongozi huku ana rekodi ya mirembe? Tuwe makini kuchagua viongozi-Anthony Diallo

8. Kama nchi tumepitia katika kiza kifupi, tumepitishwa katika Black spot hapo Nyuma, Sasa angalau watu wana raha, furaha imerejea-Dkt Anthony Diallo

9. Hata mimi Nimeshughulikiwa kidogo, wakaniacha ila nimepata msukosuko-Anthony Diallo

10. katiba siyi ya Vyama ni ya wananchi kosa tulilofanya ni kugeuza katiba kuwa vyama na kuacha wananchi hata katika lile
bunge walitawala wananchi-Dk Anthony Diallo

11. Katiba siyo Tatizo , tatizo lipo kwa watu mnachagua Rais ambae hataki kufata katiba mtanfanya nini? Kwani katiba ya sasa ilikuwa inaruhusu mtu kuwekwa ndani bila utaratibu? Lakini yamefanyika-Anthony Mwandu Diallo

12. Rais Samia nimefanya nae kazi ni Rais makini na jasiri ni muumini wa utawala wa bora-Anthony Diallo

13. CCM tulijua haitashinda mwaka 2015 na wananchi wamegeuka wiki mbili tu baada ya kuamua hata kuunda makundi ya vijana kwenye maeneo mbali mbali waweke Star Tv ilibidi itumike nguvu

15. Kuna mambo hatukuweza kuyasema kwa sababu mfumo uliharibika kabisa. Tuliamua kunyamaza tuliamua ku play safe mode ili kesho uendelee kuishi na watoto wako.

View attachment 1849193
Nani ameruhusu mtindo huu wa kuwatukana na kuwadhalilisha Marais wasitaafu au ambao wamefariki.Ni mtindo wa kukosa fikira chanya za kuleta maendeleo .Ni mtindo mbovu ambao ,unatufanya tusiwe na uwezo wa kufikiri ,zaidi ya malalamiko .Tunaomba Rais Samia ,upige marufuku hii tabia ya kijinga ya kumlalamikia marehemu.Ni tabia ya kipumbavu na kijinga.Marehemu hayupo ,ww eti unataka kuonyesha uanaume wako.Kwann ukuonyesha wakati yupo hai?
 
Marehemu nae aliwahi kukosea hakuna binadamu aliyekamilika ndiyo maana yatupasa kujifunza kutokana na makosa yake. Musiwe na wax flexibility Kama mishumaa.
Sikatai hilo, ila Diallo hana credibility ya kumkosoa Magu au kuelekeza lawama kwa Magu. Diallo ni tapeli wa kutupwa. Wafanyakazi wake wanalia mishahara, benki zinalia kwa utapeli wake. Ukitaka kujua huyu ndugu ni muongo angalia wakati Mh. J.P.M alipokuwa anakagua daraja la Kigogo Busisi yeye Diallo alikuwa mbele au nyuma kama anavyolalama.

JPM na Diallo - Kigongo Busisi.jpg

JPM na Diallo - Kigongo Busisi.jpg
 
Kidogo unaonyesha 'sense of reasoning' katika mstari wako wa mwisho; lakini wewe, kama alivyokuwa huyo unayemshabikia huonyeshi 'consistence' katika fikra zako.
Hili ndilo tatizo, pengine ndiyo sehemu ya ugonjwa wenyewe.

Label ya ukichaa wa aina hiyo nitaivaa with the greatest pride possible and an enormous feeling of being lucky!
 
Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani?

Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?

Nawasalimu kwa jina la JMT!

=========
KWA UFUPI

Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce Nyanda

1. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Biashara yetu ya Star Tv, RFA iliharibika -Diallo

2. Sie hatukulipwa na CCM, waliolipwa ni Crew iliyokuwa inatembea na vifaa kama majukwaa, walipewa hela ya kula na kubeba vifaa, ukitazama vitabu vyetu kuna hela chama hadi leo haijalipa-Diallo Mwenyekiti wa CCM

3. Mgombea wetu wa wakati ule alisema atatusaidia na alisema hadharani tena mara mbili pale Kirumba na furahisha lakini tuliambulia misukosuko

4. Awamu ya 5 iliharibu sana protocal ya Chama, viongozi wa chama walikuwa wanawekwa mstari wa nyuma kabisa gari zinakuwa mwisho hata kama ukifika unakuta mtu amekata utepe-Anthony Diallo mwenyekiti wa CCM

5. Kuna kisa kimoja kiongozi wa CCM mkoa wakati flani tumeenda kumpokea Rais alipigwa kiwiko akadondondoka, awamu ya Tano ilikuwa inazuia viongozi wa CCM hata kuingia uwanja wa ndege wanaelezwa kubaki nje -Antony Diallo Mwenyekiti wa CCM

6. Kuna siku nimemwambia waziri mkuu, hivi unajisikia raha gani kuzungukwa na mabunduki maana umezungukwa na mabunduki kama ishirini sie, tumekuchagua ila unatuogopa ki vipi? -Antony Diallo

7. Swala hapa siyo katiba, swala ni kuchagua watu makini. Unawezaje kuchagua kiongozi katika nafasi kubwa ya uongozi huku ana rekodi ya mirembe? Tuwe makini kuchagua viongozi-Anthony Diallo

8. Kama nchi tumepitia katika kiza kifupi, tumepitishwa katika Black spot hapo Nyuma, Sasa angalau watu wana raha, furaha imerejea-Dkt Anthony Diallo

9. Hata mimi Nimeshughulikiwa kidogo, wakaniacha ila nimepata msukosuko-Anthony Diallo

10. katiba siyi ya Vyama ni ya wananchi kosa tulilofanya ni kugeuza katiba kuwa vyama na kuacha wananchi hata katika lile
bunge walitawala wananchi-Dk Anthony Diallo

11. Katiba siyo Tatizo , tatizo lipo kwa watu mnachagua Rais ambae hataki kufata katiba mtanfanya nini? Kwani katiba ya sasa ilikuwa inaruhusu mtu kuwekwa ndani bila utaratibu? Lakini yamefanyika-Anthony Mwandu Diallo

12. Rais Samia nimefanya nae kazi ni Rais makini na jasiri ni muumini wa utawala wa bora-Anthony Diallo

13. CCM tulijua haitashinda mwaka 2015 na wananchi wamegeuka wiki mbili tu baada ya kuamua hata kuunda makundi ya vijana kwenye maeneo mbali mbali waweke Star Tv ilibidi itumike nguvu

15. Kuna mambo hatukuweza kuyasema kwa sababu mfumo uliharibika kabisa. Tuliamua kunyamaza tuliamua ku play safe mode ili kesho uendelee kuishi na watoto wako.

Zaidi, soma; Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'
View attachment 1849193
"No problem can be solved from the same level of consciousness that created it." - Albert Einstein
 
Gimme a break; wewe ndiye unanipotezea muda kwa kung’ang’ana na outrageous claims! Only Chadema loonies can hold tight to such emptiness!
You categorize them as "outrageous claims", because of the 'emptiness' of your level of judgement. Who is loonier here than those you claim to be looniest!
 
Do you even have a faculty for judgment? You don’t have even a murky resemblance to those who do!
 
"...a faculty for judgement", like that possessed by 'pulchra',?

No, I do not have that type, that's why I do not have even the slightiest murky resemblance of him!

That would be a terrible quality to have by any self respecting individual.
 
Kwani kosa lake liko wapi? Mwacheni aseme anachokijua, mnataka kumulisha maneno ya kusema?. Hata Kama aliyesemwa alikuwa na file mirembe, kuugua anaugua mwanadamu yeyote after all kila binadamu ana wazimu. Hayupo binadamu aliye timamu, sema tunatofautiana tu kiwango Cha wendawazimu mwenzetu kilizidi akafunguliwa file Mirembe, Kuna maajabu hapo?! Povu kwa Diallo la nini? Acha ushamba.
Kwa nini hakumwambia hapo awali??
Dialoo tunajua uchafu wke wte.
Huyu nikundi msoga hakuna asiyejua, anachoshangaza nikusema leo baada ya aneyemtuhumu kutomtaja au kusemea huko kwenye vikao vya chama.
Hili zee likichaguliwa hata ubarozi wa nyumba kumi 2025 mtazika chama.
 
Back
Top Bottom