Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
10,825
Reaction score
38,702
Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?


​
 
Video kama hizi serikali ndio haitaki kabisa kuona wananchi mnazi post post.

Kupost video za namna hii ni kama unatingisha meza yenye misosi ya gharama.
 
Huo upole wake umeutambuaje kwa kuangalia picha yake. Mimi nachojua hakuna mwanaccm mpole. Ccm kuna watu wanaoweza kukumaliza huku anakukenulia meno yake.
Huyo ame reflect Watanzania wengi...
Inawezekana wakaonekana ni waoga na wapole lakini siku wakiamua kutakuwa hapatoshi..
 
Video kama hizi serikali ndio haitaki kabisa kuona wananchi mnazi post post.

Kupost video za namna hii ni kama unatingisha meza yenye misosi ya gharama.
Ila watoto wao kutuwekea middle finger ni safi tu?
 
HUyo sio true reflection ya watz wengi. Kama kweli wengi wangekuwa kama huyo jamaa muda huu Lissu asingekuwa mahabusu.
Kila mmoja ana gauge yake yake na kikomo...
Ni kama magari hili lina 300 lile lina 180...
 
Moyo wa mtu kiza kinene
Hamza aliwaamsha waliolala ila hakujua waliolala bado wamelala wakitokea wakina Hamza km 100 tu itakua noma kinoma kitawaka sio kawaida wewe fikiria Hamza mmoja tu ila aliwajambisha sana mpaka wakamvizia sana ndio wakamlenga sasa vuta picha kungekua na wakina Hamza 100 siku ile pangetosha?
 
Wasomali hawakuja kucheka na Kima kwenye maslahi, ni akuue au umuue but sometimes watu tunaumwa bila kujua.
 
Video kama hizi serikali ndio haitaki kabisa kuona wananchi mnazi post post.

Kupost video za namna hii ni kama unatingisha meza yenye misosi ya gharama.
Hahah
 
Back
Top Bottom