Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
 
Used ugonjwa wa moyo. Chukua mpya kwa 1.6m, sema uko wapi uletewe. 0788643144 kwa mahitaji ya machine yeyote ya printing.

Faida ya machine mpya.
1.printout yenye quality
2.uhakika wa kazi, no clogging no broken nozzle n.k
Sio una print picha unakuta rangi ya njano imekolea, unauhakika zaidi yaani WYSIWYG.
 
Boss mm nahitaji photocopy machine canon IR 2520 utakuwa nayo?
 
Used ugonjwa wa moyo. Chukua mpya kwa 1.6m, sema uko wapi uletewe. 0788643144 kwa mahitaji ya machine yeyote ya printing.

Faida ya machine mpya.
1.printout yenye quality
2.uhakika wa kazi, no clogging no broken nozzle n.k
Sio una print picha unakuta rangi ya njano imekolea, unauhakika zaidi yaani WYSIWYG.
Weka picha
 
Weka picha
images (41).jpeg
 
Back
Top Bottom