Nani arithi nini JF.. Nani arithi mikoba ya nani JF?

Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia😭

Wahenga walisema.. Fainali uzeeni... Ujana maji ya moto... Sasa yameshapoa😩 hakuna kusimama dede tena! Inaogofya sana sana!
 
Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia😭
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ€
Wahenga walisema.. Fainali uzeeni... Ujana maji ya moto... Sasa yameshapoa😩 hakuna kusimama dede tena! Inaogofya sana sana!
Huu ni ulongooooooπŸƒβ€β™€
 
Naomba mikoba shee, nina matumizi nayo.
 
Natamani zaidi kua na tabia kama za Yesu Kristo, na hatimae niurithi ufalme wa Mungu gentleman,

na ni tamaa yangu kwa wadau wote wa JF, kuurithi huo ufalme wa Mungu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…