Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Najua kuna jambo, nikitoka mihangaikoni leo nina wewe π€£π€£Nina ushuhuda anwayπββοΈπββοΈ
HakunaaaaaNajua kuna jambo, nikitoka mihangaikoni leo nina wewe π€£π€£
Umeshakuwa wewe achana na hizi mada haziendani na umri wako.Time is "makangability" (Time is making ability)
Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE
Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya duniaπ
Wahenga walisema.. Fainali uzeeni... Ujana maji ya moto... Sasa yameshapoaπ© hakuna kusimama dede tena! Inaogofya sana sana!
Anyway tuna damu changa.. Very active!
Nani ungependa kurithi mikoba yake!π
Nani ungependa kurithi "tabia zake"π€£
Nani ungependa uwe reincarnation yake!
Kumbuka.. perception creates reality.....π₯View attachment 3588914
Iβve surpassed that level completely. They know who theyβre dealing with. πDis ting can't bit black magikπ
Natamani zaidi kua na tabia kama za Yesu Kristo, na hatimae niurithi ufalme wa Mungu gentleman,
na ni tamaa yangu kwa wadau wote wa JF, kuurithi huo ufalme wa Mungu π
uganga tena gentleman π€£
They tried to summon darkness against me, forgetting I was already part of it. π π πThat's great dudeπ₯πͺπΏ
Mpaka muda huu nareply hapa, iko sawa.Basi staff wa zamu wa tcra kwa siku hiyo walisinzia.
Nami kuna siku niliona hivyo, hadi nikaja humu na kuwatonya wadau kuwa: 'jamanieeh, tayari mambo gawiza'!
Kumbe wapi bhana!
They tried to summon darkness against me, forgetting I was already part of it. π π π
ππ
Soon, the beginners will learn under my command.
View attachment 3589072
Shetani anasoma biblia