hivi kwanini waganga hawawez kutumia vitu vya kisasa kufanyia uganga wao? Na kwanini hutumia zaidi kuku mweusi au mweupe pe au viungo vyake?
Basi hii neema ya kutokuhangaika na funguo itakuwa imeniangukia.Wameshaharibu kitambo
Azazel worshiper ππ
Unaweza kutumia maji kama petrol au alizeti inaweza ktumika lama hydraulic?hivi kwanini waganga hawawez kutumia vitu vya kisasa kufanyia uganga wao? Na kwanini hutumia zaidi kuku mweusi au mweupe pe au viungo vyake?
natamani kuona wakianza kutumia vitu vya kisasa kama antena labda ya startimes au azam kutafuta signal za uchawi wao badala ya kutumia miguu yakuku π
Azazel worshiper ππ
Those people know me very well, and Iβve encountered them many times before. One day, we will begin a deep discussion, and I will expose them and reveal the hidden truths behind their ancient secrets, secrets that many know nothing about.
This world is part of my daily life: crossing paths with strange spiritual beings from the sea kingdom and others from the skies. Darkness does not scare meβ¦ I walk through it. π
sawa mganga nimekuelewa πUnaweza kutumia maji kama petrol au alizeti inaweza ktumika lama hydraulic?
Wana summons spirits from other world kupitia master wao , wale spana kila mmoja na linalo muhusu kupitia ibadaπ π
Hahahaha.Mpaka muda huu nareply hapa, iko sawa.
Umesahau mkoba wa kupost picha za wadada wenye makeboMkuu mimi nipo tayari kurithi mikoba yako ya busara, hekma, maarifa bila kusahau ulozi. π
Time is "makangability" (Time is making ability)
Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE
Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia
Time is "makangability" (Time is making ability)
Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE
Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia
Umesahau mkoba wa kupost picha za wadada wenye makebo
Me nitarithi mikoba ya ndugu Maxence Melo.Time is "makangability" (Time is making ability)
Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE
Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia
Wahenga walisema.. Fainali uzeeni... Ujana maji ya moto... Sasa yameshapoa hakuna kusimama dede tena! Inaogofya sana sana!
Anyway tuna damu changa.. Very active!
Nani ungependa kurithi mikoba yake!
Nani ungependa kurithi "tabia zake" Nani ungependa uwe reincarnation yake!
Kumbuka.. perception creates reality
View attachment 3588914
Unachagua vya kurithi etπ€£Hii hapana aisee! Hii ya makebo tutafute mtu mwingine. π
Kwa kiswahiliI mean no malice to nobody
Unachagua vya kurithi etπ€£
Hivi darasa letu tunaanza lini?
Sawaaaa πNdio, hilo la kuwa na database ya mapicha picha, litanishida aisee. π
Nipo tayaliWewe ukiwa tayari njoo tuanze darasa.
Nipo tayali
Sawa asante mwalimu nasubiriSawa , nitakupa ratiba ngoja niandae masomo ya awali. π