Nani atadaka mechi za Simba huko Sudan? Msituaibishe jamani Afrika itatucheka

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz?

Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia

Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu amsaidie tu yule kijana sijajua hadi leo ubora wake ni nini? hajui kujiposition,kukaba, kupiga kross wala kutoa pass,duchu ni better zaidi mara 100

namba 3 atakuwa Gadiel siyo? haya pambana mpare no excuses ndugu kotoko na hilal teams kubwa msituaibishe
 
Nilimuangalia Duchu mechi kadhaa msimu uliopita akiwa Geita FC, aisee kiukweli ameimprove haswa na naamini kwa ubora wake anafaa kurudi Simba kwasbb Mwenda ubora wake upo hafifu sana

Viongozi wa Simba walione hili kiundani, nafasi ya Kapombe inabidi ipate mtu mwenye ubora, mwenye kuleta ushindani ikitokea hata Kapombe kapata injury basi tuwe na mbadala mwenye kaliba ile ile ya Kapombe
 
duchu is better ila bado wakampeleka tena kwa mkopo mtibwa, mwenda kwa kweli anasikitisha sana ,hizi mechi za kirafiki akacheze vitu vya kueleweka sasa
 
Kuna dogo katoka simba B nasikia anadaka mpaka mishale
 
  • Thanks
Reactions: Lee
wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz?

Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia

Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu amsaidie tu yule kijana sijajua hadi leo ubora wake ni nini? hajui kujiposition,kukaba, kupiga kross wala kutoa pass,duchu ni better zaidi mara 100

namba 3 atakuwa Gadiel siyo? haya pambana mpare no excuses ndugu kotoko na hilal teams kubwa msituaibishe
Hata hizo timu tutakazokutana nazo wachezaji wao pia wamechaguliwa national team kwenye michuano ya Chan,,,,, ukiogopa aibu utachelewa kufanikiwa mambo yako mengi 😊☺️
 
Hata hizo timu tutakazokutana nazo wachezaji wao pia wamechaguliwa national team kwenye michuano ya Chan,,,,, ukiogopa aibu utachelewa kufanikiwa mambo yako mengi [emoji4][emoji3526]
Ukiachana na mpira huyu mtoa mada inawezekana hata kwenye maisha ana mawazo ya kimasikini sana
Si ajabu akaamua kulala ndani na kushindwa kufanya jambo fulani la kumuingizia kipato kisa anahisi aibu na watu watamuonaje
 
Kuna kipindi Simba ilikuwa inacheza na yanga kipa namba moja na mbili wote walikuwa majeruhi akadaka Peter Manyika na hakufungwa wakati huo alikuwa kinda Kwa mtazamo wako Ile mechi Simba wangegomea
 
Upuuzi mwingine bana!!!, HIvi Huwa mnawaza Kila mchezo unahitaji matokeo pekee?. Ndio MAANA hata siku ya Simba day kuisha WATU waliwaambiwa Simba hawakuwa serious na kujipika uwezo wao Kwa kuwaalika wale makataksta wa wa Ethiopia. Friend matches ni kwaajili ya kujifunza acha kuwa shabiki mpumbavu.
 
Ikitokea simba kachezea goli tano tano una hakika utaandika ulichoandika hapa?
 
Kuna kipindi Simba ilikuwa inacheza na yanga kipa namba moja na mbili wote walikuwa majeruhi akadaka Peter Manyika na hakufungwa wakati huo alikuwa kinda Kwa mtazamo wako Ile mechi Simba wangegomea
Umeelewa nilichoandika lakini? Au lawama tu....siyo keeper tu hata mwenda na gadiel nimewapa challenge ya ku prove kwamba they are worth it
 
Ikitokea simba kachezea goli tano tano una hakika utaandika ulichoandika hapa?
Nimekwambia acha kuwa mashabiki mpuuzi!!, Unaelewa maana ya mechi za kujipima nguvu lengo lake Nini? Au unawaza kushangilia hata kwenye vibovu?.
 
Nilitaka niendelee kubishana na wewe nimeamua kuku ignore dagaa niliokula washuke vizuri, arguing with a nimcompoop is not worth it
 
Kakujibu vzr. Friendly match ni kioo unajitazama sehem yeny ukurutu unaipaka mafuta.

Mnakumbuka yanga iliweka kikosi A kikacheza soka safi na kupeleka moto balaa lkn kipindi cha pili Nabbi akaleta kikosi B kikawa kinacheza bila combination. Unadhan kwa nn?

Alipoteza ile mechi na akachekwa sana na kutaniwa. What happened to derby? Alileta kile kikosi A ndo kikamuua mnyama. Isingekua ile mechi Nabbi angejua kikosi gani bora?

Myama apeleke timu icheze Zoran ajiangalie. Asibweteke na matokeo ya akna Kagera atakuja kupigwa mkono kama kasimama.
 
Back
Top Bottom