Nani atadaka mechi za Simba huko Sudan? Msituaibishe jamani Afrika itatucheka

Kakujibu vzr. Friendly match ni kioo unajitazama sehem yeny ukurutu unaipaka mafuta.

Mnakumbuka yanga iliweka kikosi A kikacheza soka safi na kupeleka moto balaa lkn kipindi cha pili Nabbi akaleta kikosi B kikawa kinacheza bila combination. Unadhan kwa nn?

Alipoteza ile mechi na akachekwa sana na kutaniwa. What happened to derby? Alileta kile kikosi A ndo kikamuua mnyama. Isingekua ile mechi Nabbi angejua kikosi gani bora?

Myama apeleke timu icheze Zoran ajiangalie. Asibweteke na matokeo ya akna Kagera atakuja kupigwa mkono kama kasimama.
kwenye uzi ukisoma vizuri nimesema its time for mwenda, ally salumu na gadiel michael to MAN UP siyo kila mara wahusika wakuu wakikosekana inakuwa headache, ni kweli ni mechi za majaribio lakinihakuna mwanasimba atakayependa kusikia kipa alikuwa anadaka hewa team ikala mabao ya kutosha hata kocha hatafurahi na kusingizia ni ffriendly matches
 
Ilo ni tamasha la timu Vilaza Kwaiyo usihofu Kwa Simba kubebeshwa zigo la Magoli hakuna Elite kwabu yoyote iitakayo shiriki bonanza ilo. Nikama Emirate cup ya Arsenal, mnachaguana vibonde mnakipiga.
 
al hilal na kotoko ni vilaza?simba ndo kachagua? au kaalikwa?
 
Wote Vilaza ao, Ao Al hilal tukonao kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na timu za Sudani tumecheza nazo sana hakuna timu tishio. Kotoko ilikua Zamani kwasasa wameporoka vibaya mno.
 
wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz?

Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia

Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu amsaidie tu yule kijana sijajua hadi leo ubora wake ni nini? hajui kujiposition,kukaba, kupiga kross wala kutoa pass,duchu ni better zaidi mara 100

namba 3 atakuwa Gadiel siyo? haya pambana mpare no excuses ndugu kotoko na hilal teams kubwa msituaibishe
Mchambuz wa football ambaye ktk maisha yake HAJAWAHI KUCHEZA HIO FOOTBALL KWA MAFANIKIO HATA KDGO
 
Wote Vilaza ao, Ao Al hilal tukonao kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na timu za Sudani tumecheza nazo sana hakuna timu tishio. Kotoko ilikua Zamani kwasasa wameporoka vibaya mno.
Vilaza zaidi ya utopolo ambae mtoto alieanza darasa la kwanza 2016 na leo Yuko darasa 7 hajawahi kuona uto anashinda mechi yoyote ile ya kimataifa?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Yanga anamfunga na kumtoa Township Rollers 2019 Tena ugenini Kama ulikua bado uko kwenu Mbwinde Mimi nikusaidiaje!! Msirukie mambo ya mipira ambayo hamyajui[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Vilaza zaidi ya utopolo ambae mtoto alieanza darasa la kwanza 2016 na leo Yuko darasa 7 hajawahi kuona uto anashinda mechi yoyote ile ya kimataifa?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Umeandika uongo wa dhahiri! Katika hicho kipindi Yanga ilifika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho mara 2! Labda kama ulikuwa hujaanza kufuatilia soka!
 
wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz? Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia. Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu amsaidie tu yule kijana sijajua hadi leo ubora wake ni nini? hajui kujiposition,kukaba, kupiga kross wala kutoa pass,duchu ni better zaidi mara 100. namba 3 atakuwa Gadiel siyo? haya pambana mpare no excuses ndugu kotoko na hilal teams kubwa msituaibishe
Karibu tena kwa comments mpya
 
wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz?

Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia

Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu amsaidie tu yule kijana sijajua hadi leo ubora wake ni nini? hajui kujiposition,kukaba, kupiga kross wala kutoa pass,duchu ni better zaidi mara 100

namba 3 atakuwa Gadiel siyo? haya pambana mpare no excuses ndugu kotoko na hilal teams kubwa msituaibishe
Haya sasa futa huu utumbo
 
Back
Top Bottom