njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Soma ulichoandika halfu jitafakari kama unazo akili za kutosha, halafu nenda kafake wewe ndiyo nini? jifunze kuandikaNenda kafake wewe ili tuepuke aibu.
wajitahidi tu , ila its hightime for mwenda na gadiel na Ally salim to man up...chezeni kwelikweli tusiwakumbuke kina manula, kapombe, zimbwe atleast tuwe na imani kwamba kuna back upKila la kheri Tanzania...
wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz?
Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia
Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu amsaidie tu yule kijana sijajua hadi leo ubora wake ni nini? hajui kujiposition,kukaba, kupiga kross wala kutoa pass,duchu ni better zaidi mara 100
namba 3 atakuwa Gadiel siyo? haya pambana mpare no excuses ndugu kotoko na hilal teams kubwa msituaibishe
duchu is better ila bado wakampeleka tena kwa mkopo mtibwa, mwenda kwa kweli anasikitisha sana ,hizi mechi za kirafiki akacheze vitu vya kueleweka sasaNilimuangalia Duchu mechi kadhaa msimu uliopita akiwa Geita FC, aisee kiukweli ameimprove haswa na naamini kwa ubora wake anafaa kurudi Simba kwasbb Mwenda ubora wake upo hafifu sana
Viongozi wa Simba walione hili kiundani, nafasi ya Kapombe inabidi ipate mtu mwenye ubora, mwenye kuleta ushindani ikitokea hata Kapombe kapata injury basi tuwe na mbadala mwenye kaliba ile ile ya Kapombe
Hata hizo timu tutakazokutana nazo wachezaji wao pia wamechaguliwa national team kwenye michuano ya Chan,,,,, ukiogopa aibu utachelewa kufanikiwa mambo yako mengi 😊☺️wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz?
Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia
Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu amsaidie tu yule kijana sijajua hadi leo ubora wake ni nini? hajui kujiposition,kukaba, kupiga kross wala kutoa pass,duchu ni better zaidi mara 100
namba 3 atakuwa Gadiel siyo? haya pambana mpare no excuses ndugu kotoko na hilal teams kubwa msituaibishe
Ukiachana na mpira huyu mtoa mada inawezekana hata kwenye maisha ana mawazo ya kimasikini sanaHata hizo timu tutakazokutana nazo wachezaji wao pia wamechaguliwa national team kwenye michuano ya Chan,,,,, ukiogopa aibu utachelewa kufanikiwa mambo yako mengi [emoji4][emoji3526]
Ikitokea simba kachezea goli tano tano una hakika utaandika ulichoandika hapa?Upuuzi mwingine bana!!!, HIvi Huwa mnawaza Kila mchezo unahitaji matokeo pekee?. Ndio MAANA hata siku ya Simba day kuisha WATU waliwaambiwa Simba hawakuwa serious na kujipika uwezo wao Kwa kuwaalika wale makataksta wa wa Ethiopia. Friend matches ni kwaajili ya kujifunza acha kuwa shabiki mpumbavu.
Umeelewa nilichoandika lakini? Au lawama tu....siyo keeper tu hata mwenda na gadiel nimewapa challenge ya ku prove kwamba they are worth itKuna kipindi Simba ilikuwa inacheza na yanga kipa namba moja na mbili wote walikuwa majeruhi akadaka Peter Manyika na hakufungwa wakati huo alikuwa kinda Kwa mtazamo wako Ile mechi Simba wangegomea
Nimekwambia acha kuwa mashabiki mpuuzi!!, Unaelewa maana ya mechi za kujipima nguvu lengo lake Nini? Au unawaza kushangilia hata kwenye vibovu?.Ikitokea simba kachezea goli tano tano una hakika utaandika ulichoandika hapa?
Nilitaka niendelee kubishana na wewe nimeamua kuku ignore dagaa niliokula washuke vizuri, arguing with a nimcompoop is not worth itNimekwambia acha kuwa mashabiki mpuuzi!!, Unaelewa maana ya mechi za kujipima nguvu lengo lake Nini? Au unawaza kushangilia hata kwenye vibovu?.
Kakujibu vzr. Friendly match ni kioo unajitazama sehem yeny ukurutu unaipaka mafuta.Nilitaka niendelee kubishana na wewe nimeamua kuku ignore dagaa niliokula washuke vizuri, arguing with a nimcompoop is not worth it
Jukwaaa huru hili bwashee anzisha uzi wa kusema siyo lazima nianzishe uziSio lazima uanzishe uzi!