Nani ataibuka mshindi Jake Paul vs Mike Tyson?

Hili pambano litakua kama mieleka maagizo matupi, Kuna mtu kavujisha kua Kuna non disclosure agreement hakuna kushinda k.o round ya kwanza, kwa io round ya kwanza tutegemee maigizo tu, pesa zimeharibu ngumi Leo patakua hamna tofauti na ujinga wa wrestling wa Mayweather kumpiga big show
 
Naamini hili litakua pambano lenye mvuto zaidi ya lile la Mayweather Vs Manny Pacquiao, wale walituibia Pesa bure ila hili naamini itakua burudani nzuri watu watataka kuona The Left behind of Mike Tyson speedy jabs
Daaaa walizingua sana wajinga
 
Lakini hii siku hizi imekuwa kawaida sio zile ngumi za Tyson vs Evander
 
Daaaa walizingua sana wajinga

Lakini hii siku hizi imekuwa kawaida sio zile ngumi za Tyson vs Evander
Ni kweli kabisa, sikuhizi Boxers wanacheza kwa kujilinda sanaa wanakimbia kimbia na kushikana shikana tu hakuna Jabs zile heavy za double double kama zaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…