Nani ataibuka mshindi Jake Paul vs Mike Tyson?

Nani ataibuka mshindi Jake Paul vs Mike Tyson?

Hiyo ni biashara Tyson kamlea JP ,miguu yake nyanganyanga anaenda kupigwa tu na mwanae.lakini wapenzi watazamaji mnalipa
 
Tunaingia raund ya 6, Tyson ameanza kukata moto
 
Kabla ya Mike na Paul kulikuwa na pambano lingine kati ya Katie Taylor na Amanda Serrano ambaye aliumia kwa kuchapwa ngumi ya jicho as unaona pichani 👇🏾.
GcetTs3WcAAtdfg.jpeg


======================
But mzee Mike anaenda kupumzika mazima baada ya kupata pesa kupitia pambano hili.

Kachapika hapo 👇🏾

6397b1255370f07879b122a460820a9b2c78b7686b19f02f9df0b67f.jpg
 
Alijitahidi kutaka kumaliza kwenye hii round ya 2 ila dogo Paul alikwepa hapo 👇🏾.
6397b1255370f07879b122a457981a05de8e8fc0bfa5b52be6d9ab3e.jpg
 
Milioni 20 Mara 2400....

Wazee.. pesa saafii ya kustaafia. Hata Kama hajashinda.
 
baada ya mwamba trump kuingiaa....miafrika inazidi kukandwaa kila kona mazee dah
FB_IMG_1731736884589.jpg
 
Back
Top Bottom