Kabla ya Mike na Paul kulikuwa na pambano lingine kati ya Katie Taylor na Amanda Serrano ambaye aliumia kwa kuchapwa ngumi ya jicho as unaona pichani ππΎ.
====================== But mzee Mike anaenda kupumzika mazima baada ya kupata pesa kupitia pambano hili.