Nani ataibuka mshindi kati ya mtandao na vyombo vya dola kwenye sakata la Polepole

Nani ataibuka mshindi kati ya mtandao na vyombo vya dola kwenye sakata la Polepole

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1758313762058.png

Sitii neno. Hali ilivyo ni kwamba kuna mnyukano kati ya mtandao na vyombo vya dola. Je, nani ataibuka kidedea?
Najiwazia kimya kimya.
 
Poleple ni chaguo la wana CCM maadili kwanza na chaguo la chama cha mapinduzi falasafa za waanzilishi wa chama ndo maana Nyerere kafa sio Fisadi ushindi ni Polepole no matter what ndo maana tukiweza kuwaunganisha polepole na Lissu kwanza hao wote sio mafisadi basi tumeenda kama nchi
 
Back
Top Bottom